Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Asanteni kwa kutupa raha mkuu, pia mkumbuke kuwa mulikuwa munacheza na timu ya chama cha siasa na sio timu ya taifa.Ahsante mungu kwa matokeo hayo.....
Nairobi tumetishiwa kupigwa tukachachawa
Kumbe ile ilikuwa mbinu km za wanamasumbwi za kututoa mchezoni na kweli tukatoka wametupa tatu za kumchembe
Mpira ni sayansi na sio hamasa pekee na mapambio
Ukweli unaofichwa : Watanzania wamegawanyika mno kuhusu Taifa Stars
Kwa Tafsiri halali maana halisi ya uzalendo ni pamoja na kuongea ukweli ( Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko ) , mficha maradhi mauti humuumbua , nimeanza na hili la uzalendo maana limetumika sana na mamluki ili kufifisha mijadala yenye tija , Uzalendo siyo Uzuzu au ubwege , uzalendo ni...www.jamiiforums.com
Punguza kiherehere![emoji1] [emoji1] [emoji1] Leo lazima ulale na viatu
bingwa wa kushundwa DABSi wampe tu tiketi agombee urais kupitia ccm 2020 huyu kijana maana imekuwa too much kwa sasa, kila mahali anajipenyeza na bahati nzuri ana kirusi cha kushindwa kila anapogusa!!!!! Amekalia kumdanganya ti rais....
[emoji108][emoji123][emoji106][emoji106]Nasaha jadidi.
[emoji116]
Mheshimiwa hebu ajipe muda wa kujituliza kwenye matukio makubwa makubwa ya Kitaifa.
Hebu ajikite kwenye kazi yake na hayo mengine awaachie wahusika.
Kuendelea kujiweka mbele katika kila tukio kubwa la Kitaifa kunazidi kuhalibu haiba ya nchi.