jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
acha hizo mazee[emoji1] [emoji1] [emoji1] Leo lazima ulale na viatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha hizo mazee[emoji1] [emoji1] [emoji1] Leo lazima ulale na viatu
mmetangulia na baiskeli ya mbaoAahaa Tanzania kwanza, Mungu kabariki tuna 1-0
Babu yangu kutoka Sumbawanga Mzee Jipime kaisha chinja kuku leo uwakika Jomba.mmetangulia na baiskeli ya mbao
imeniuma sana kufungwa.Babu yangu kutoka Sumbawanga Mzee Jipime kaisha chinja kuku leo uwakika Jomba.
2-1
Manula akapewe haki yake[emoji1] [emoji1] [emoji1] Leo lazima ulale na viatu
imeniuma sana kufungwa.
sasa huyo kuku tunamptaje ili angalau tule nyama.
makonda hoooyeeeeeeeeeeee!!!!
tutafunga na kuomba kwa ajili ya yule jamaa anayeombaga tumuombee.Tehe tehe bavicha wanatoa stress na kufarijiana hapa
Ok!!! sasa Nyama tunaipataje tupunguze machungu.Kumbe mchinjaji alichinja kuku Mweupe badili ya Mweusi mkuu.. Mchinjaji katuangusha na kamwangusha Babu.
Mkuu ngoja tulale asubuhi nikumbushe hutakosa supu.. Andaa chapati mbili Kama katiba inavyosema.Ok!!! sasa Nyama tunaipataje tupunguze machungu.
Kusema kweli Mimi nimeiomvea vibaya Taifa Stars kwa sababu ya DAB. Na tuko wengi. Mungu anesikia dua zetu. Tumechapwa 3 - 2.Watu(baadhi) wanaiombea [emoji93] ishindwe sio kwa sababu ya chuki za kisiasa (well, DAB anaweza kufanya watu wakachukua timu yao), ila zaidi kwa sababu ya ukweli kuwa hatuna uwezo wa kushindana, hatujaandaliwa kushindana na huenda tupo hapo tulipo kwa bahati tu. Lakini pia, hatuna elimu ya uzalendo, elimu hii imemezwa na siasa uchwara ambazo zinatutenga.
Tujue tu kuwa hawa wanasiasa wanatutenga lakini wao wanagonga "cheers" kwenye viti virefu.
pamoja sana.Mkuu ngoja tulale asubuhi nikumbushe hutakosa supu.. Andaa chapati mbili Kama katiba inavyosema.
Mpira ni Biashara Mkuu na Biashara ni kuwekeza toka hatua ya kwanza mpaka Mwisho.pamoja sana.
tunaipenda sana Tanzania sema basi tu.
Pamoja sana mkuu.Mpira ni Biashara Mkuu na Biashara ni kuwekeza toka hatua ya kwanza mpaka Mwisho.
Bila kuwekeza hakuna kitakacho tokea tofauti na Mahajabu.
Ipo siku tutakenua Meno njee muda huu ni muda wa kuwekeza na kuungana kwa kila jambo hii ni Tanzania yetu sote..
Mungu bariki Tanzania na Watu wake.
ONE LOVE.
Nakwepa sana kitu kinaitwa chuki, nakwepa mno visasi... Chuki huzaa kisasi na kuviziana.... Kuombeana mabaya na kushindwa
Kama Taifa tulipitia vipindi tofauti vya chuki... Achana na chuki ile ya majirani kama ilivyo sasa... Hii inayojaribu kutengenezwa kati yetu na Wakenya.... Tuliwahi kupitishwa kwenye chuki za kiimani Waislam VS Wakristo... Chuki mbaya mno hii.... Lakini Mungu ni mwema hili likapita bila madhara makubwa
Hatujawahi kuingia kwenye chuki kubwa za kikabila... Hizi nazo zina sumu mbaya sana... Zinaweza kushabihiana kwa karibu na chuki za kidini...
Tafakuri, maono na hekima zetu zimeshindwa kutuepusha na chuki za kisiasa.... Kwasasa Waislam na Wakristo ni kitu kimoja.. Ila Watanzania kwa sasa wanachonganishwa na siasa kupitia wanasiasa...!
Uongozi ni kipawa... Tunaaswa kwenye misahafu kulinda vitu viwili kuliko vingine vyote.... MOYO na MDOMO... kwakuwa hivi ndio karakana ya mambo yote... Mema na mabaya... Moyo wenye msingi asili wa wazo na mdomo kama kiwakilishi na kipaza sauti cha kusambaza....
MDOMO ndio hatari zaidi ndio wa kulindwa zaidi kwakuwa chochote kitakachotoka humo hakina rivasi... Ni kama risasi ikitoka imetoka.... Kifuatacho ni madhara
Tuliombee taifa hali ni ngumu, chuki ni za wazi kabisa.. Tuwaombee viongozi wetu... Tuwashauri kwa hekima.... Kwa tafakuri kuu...
Maneno ni sumu, maneno yanajenga chuki, maneno yanafarakanisha.. Maneno yanaleta vita na kuangamiza roho nyingi zisizo na hatia......!!!
Tulitegemea leo iwe furaha kuu kwa timu yetu ya Taifa kufika ilipofikia baada ya miaka 40... Tulitegemea msisimko, shangwe, nderemo vifijo na kila aina ya bashasha... Lakini kilichopo kwa sasa ni kipi?
Hakuna shamrashamra, hakuna bashasha, hakuna msisimko wowote bali kuna MAOMBI hasi ya kutaka Taifa stars ishindwe.... Hii ndio itakuwa furaha ya wengi.... Kushindwa kwa stars kutaleta furaha kuliko kushinda....!!
Hapa ndipo tulipolifikisha Taifa.... Tutachomokaje kwenye mtego huu? Muda utasema... Siombei timu yangu ya Taifa ishinde wala ishindwe... Sitaki awepo mshindi kwenye hizi chuki...
Yeyote atakayeshinda ndio mwanzo wa kumea kwa mbegu ya chuki iliyokwisha pandikizwa...
Mungu ibariki Tanzania na watu wake...!!!!
Ndio hvyo tena uvccm imechezea kichapo toka kwa walala hoiAcha tufungwe hizo zingine lakini sio kwa hawa walala hoi majirani