Taifa limeingizwa kwenye mtego wa chuki kubwa

Taifa limeingizwa kwenye mtego wa chuki kubwa

Nyie ni wachache kati ya watanzania zaid ya million 55 tunayoiombea taifa stars ishinde na itashinda
 
Hujui unachokiongea kwa sababu wewe ni idiot embacile. Kilichoko JF kinareflect mitaani kulivyo.
Chuki hii wanayowajinga wa chache sana, na hao hawawezi kukosekana katika watu mil. 50

Lkn kwa taarifa yako stars ina sapoti kubwa sana. Ukitaka kuamini baadae nenda kwenye kibanda chochote cha Mpira alafu utajiona ni jinsi gani ulivyo mjinga kushakia Kenya
 
Wapi ambapo stars imefanywa ya ccm? Yani selikali kuwatia watu hamasa ndio kuwa ya ccm?
Tangu lini ushindi wa timu ya taifa ukaletwa na chama? Tuambieni jinsi ccm ilivyochangia taifa stars kuishinda Uganda!
 
Tangu lini ushindi wa timu ya taifa ukaletwa na chama? Tuambieni jinsi ccm ilivyochangia taifa stars kuishinda Uganda!
Mbona unaongea kama mtoto mdogo?

Twambie ccm kama ccm ilijihusisha lini na stars? Mbona mm nawaona viongozi wa selikali wakiwatia moyo wachezaji na siyo ccm?
 
Leo wauza Sembe, Wauza Shisha, Waliotelekeza Watoto Dsm, Matapeli wa Viwanja ambao kwa namna moja au Nyingine Harakati za Makonda zimewagusa kamwe hawataiombea mema Stars. Yote kwa yote Mpira unadunda.
 
Mbona unaongea kama mtoto mdogo?

Twambie ccm kama ccm ilijihusisha lini na stars? Mbona mm nawaona viongozi wa selikali wakiwatia moyo wachezaji na siyo ccm?
Sidhani kama una kiwango cha chini cha ufuatiliaji mambo kiasi hicho. Kwamba hujamsikia kiongozi wa ccm akisema hayo?
 
Sidhani kama una kiwango cha chini cha ufuatiliaji mambo kiasi hicho. Kwamba hujamsikia kiongozi wa ccm akisema hayo?
Weka ushahidi! Huyo kiongozi wa ccm hana jina? Kasemaje?
 
Atawapa na Algeria??? [emoji23][emoji23], ccm stars lazima ichezee kichapo cha mbwa koko, wakijitutumua kwa wanyama, Algeria anakuja kumaliza kazi,.
Acha tufungwe hizo zingine lakini sio kwa hawa walala hoi majirani
 
Chuki ya kisiasa inatengenezwa na wanasiasa wenye madaraka, there is no fair playground, sitashangaa leo stars ikishinda tukaambiwa ni chama fulani ndo kimeleta ushindi wa stars

There u ure
 
Yani Bavicha kutaka stars ifungwe ili makonda aaibike ndio unasema ni watanzania?

Chadema ni wapumbavu, siyo wote Lakin wengi wao ni wapumbavu. Sasa unajiuliza stars ikifungwa ndio watakuwa wameingia ikulu ama?

Wajinga wa chache humu mitandaoni wasikutishe, huku uraiani stars inasapoti kubwa sana.
Kenya goaaaalllllll
 
Karibu Sky Eclat. Halafu vile akina Diamond, Ben Pol, Ali Kiba wamekuja Kenya mimi nataka nije kwenu. Kitamaduni mahari Mnakubali ng'ombe ngapi?
Kabila langu jogoo wa shemeji blanket la bibi, kitenge cha shangazi khanga za mama mdogo, mbuzi na ndoo ya pombe ya mnazi vimetosha.
 
Hii chuki waliianzisha wenyewe watawala . sisi tunaimalizia .Mungu ibariki Harambee Stars . japo mm ni mtanzania

Mimi kwa Bashite kujitia timu ni yake binafsi,nimeichukia Taifa Stars kabisa!

Nipo Harambee Stars ***** zake Bashite!

Hii serikali takatifu zaidi ya malaika ijifunze kua vitu vya taifa ni taifa na sio vya chama!

Bashite mamaeee
 
Chuki hii wanayowajinga wa chache sana, na hao hawawezi kukosekana katika watu mil. 50

Lkn kwa taarifa yako stars ina sapoti kubwa sana. Ukitaka kuamini baadae nenda kwenye kibanda chochote cha Mpira alafu utajiona ni jinsi gani ulivyo mjinga kushakia Kenya
wengi tunaenda kuangalia migoli mingapi stars inafungwa
 
Kabila langu jogoo wa shemeji blanket la bibi, kitenge cha shangazi khanga za mama mdogo, mbuzi na ndoo ya pombe ya mnazi vimetosha.
😂 😂 😂

Mbona Si jogoo yeyote ama kitenge chochote ama khanga lolote tu? 😂
 
wengi tunaenda kuangalia migoli mingapi stars inafungwa
Ukifika pia Chunguza ni watanzania wangapi ni wajinga wa kumshabikia Kenya hapo kibandani

Nakuhakikishia utajiona mjinga sana
 
Back
Top Bottom