Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Kawafikisha wapi?Piga hao ccm stars 3-0 siwezi kushangilia UNAFIKI mie. Sikutegemea KAMWE kuja kuandika haya niliyoyaandika lakini huyo nduli, dikteta na MUUAJI wa Ikulu ndiyo katufikisha hapa.
Alafu stars ikifungwa ndio chadema mnapata tiketi ya kwenda ikulu?
Na kama wewe siyo nyumbu ainisha makosa yaliyofanywa na selikali kwa stars!