Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Bashite Stars 0 Harambee Stars 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka hivi kweli huna ya kufanya unafuatilia huu ujinga?Confirmed: Kikosi cha leo kitapangwa kwa msukumo wa Makonda
Nimeona hii habari ikiwa inatrend kwenye mitandao ya kijamii baada ya kupostiwa na Azam Tv kule kwenye Instagram. Kwa presha hii ya Makonda, Emanuel Amunike atakuwa ameingiliwa majukumu yake. Na ikitokea tumefungwa tusimlaumu kabisa. Je hiko ndiko Makonda alichotumwa kwenda Misri? Je Makonda...www.jamiiforums.com
Unasadiki kuwa Bashite Stars ni wajinga?Kaka hivi kweli huna ya kufanya unafuatilia huu ujinga?
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] nayatambua maumivu ya wengi
Heri wasitufumge kulinda jumuia[emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari bashite amesema eti taifa stars ni ya Ccm na itashinda kama ccm inavyoshindaChuki ya kisiasa inatengenezwa na wanasiasa wenye madaraka, there is no fair playground, sitashangaa leo stars ikishinda tukaambiwa ni chama fulani ndo kimeleta ushindi wa stars
Wewe ndio nyumbu mwenyewe sasa