Taifa limeingizwa kwenye mtego wa chuki kubwa

Taifa limeingizwa kwenye mtego wa chuki kubwa

Hamasa pekee naisikia kwenye vipindi vya redio na ni kwasababu wanaogopa watakavyotendwa
Ila kwa mimi huku tongwe,maombi yangu ni tuchakazwe sana tuu
Nipo na wahenga na makuhani walionena kuwa mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe,nampenda na kumtakia jirani matokeo mazuri
 
Kaka hivi kweli huna ya kufanya unafuatilia huu ujinga?
 
asitie najisi kambi, wamtume akateke wachezaji wote muhimu wa kenya kama atakavyomteka yule mzee anae endelea kung'ang'ania hati. that's the only thing he does best
 
Sijaelewa hawa ngosha wanataka kutupeleka wapi, na sijuhi pia kama wanatumia vichwa vyao kufanya maamuzi au kuna remote forces zinazotoa maamuzi.
 
Chuki ya kisiasa inatengenezwa na wanasiasa wenye madaraka, there is no fair playground, sitashangaa leo stars ikishinda tukaambiwa ni chama fulani ndo kimeleta ushindi wa stars
 
Mgawanyiko wa Watanzania kuhusiana na mechi ya stars upo humu Jamiiforums peke yake.

Member wenyewe wa JF sidhani Kama hata nusu ya robo ya Watanzania wanafika hapohapo Kuna murtiple ID.

Japo dogo DAB ni live anazingua ila siwezi nikaichukia Taifa stars kisa yeye.Kwa sababu DAB sio Taifa stars.
 
Watz tumezoea kupayuka, eti, mbele ya muheshimiwa Rais na mbele ya kadamnasi mtu anatamba kwa kusema; " kenya hawatoki---", kana kwamba hao kenya ni viziwi, pia wao hawataki kushinda??!!😁😁

Kisaikolojia, kwa hayo maneno ya huyo "asiyejitambua" itakuwa kazi ngumu sana Kuifunga kenya.
 
Yani Bavicha kutaka stars ifungwe ili makonda aaibike ndio unasema ni watanzania?

Chadema ni wapumbavu, siyo wote Lakin wengi wao ni wapumbavu. Sasa unajiuliza stars ikifungwa ndio watakuwa wameingia ikulu ama?

Wajinga wa chache humu mitandaoni wasikutishe, huku uraiani stars inasapoti kubwa sana.
 
Back
Top Bottom