Taifa limeingizwa kwenye mtego wa chuki kubwa

 
Ndugu zangu watanzania mnakosea mnavyoibeza timu yetu ya Taifa,tukubali kwamba tumeshindwa tujipange ili kipindi kijacho tufanye vizuri.Binafsi sijaona kosa la Makonda,wala CCM kuhusika,hayo ya siasa kuingiza kwenye soka letu ni ufinyu wa fikra.Viongozi wetu wanafanya hamasha ili kuwapa morali wachezaji wetu na furaha yetu ni kuona timu yetu inafanya vizuri.
Tuangalie wapi tumekosea tusirudie kosa.
Hatuna wachezaji wengi walio na uzoefu Kimataifa.
Nawapa hongera TaifaStars mmejitahidi,Kushiriki tu kwenye michuano hiyo tumeionesha Dunia kwamba na sisi tumo.
 
yaani nilime korosho zangu kwa nguvu zangu, mtu atoke huko alikotoka kwa ujinga wake na ushamba atangaze kununua korosho zangu azichukue bila kulipa mpaka leo halafu nimpende ? to hell mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…