Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Kila siku mnatafuta connection za kutoka bongo

Hii ni sababu bongo katika kutoka ni lazima uwe na connection kwa namna moja au nyingine...watu wengi wanaofanya cooprerate kuwajua ni rahisi sana kutoka kimaisha

Unaacha kuwajua watu kama kina Gilsant, unawajua kina irene Paul halafu unasema bongo mchongo haupati baki hivyo hivyo [emoji23]
 
Who are they? I don’t know anything about them.

 
Brother yes nilikuwa mwajiriwa wa Airtel na kwa taarifa yako tulifanya project kubwa ambayo one of the competitor alikuja kufanya headhunt na mie nikawemo unaweza niona sina akili lakini waliokuja kufanya headhunt wanajua walikuja kuchukua vichwa vya aina gani

Naweza kuwa naandika utoporo lakini kwenye kazi yangu najua ninachofanya

Anyways haihusu sana nilichokifanya ni kujaribu kutoa codes za connection za kutoboa kimaisha tu kwa kuwa introduce one of the Guru katika vitu fulani fulani..[emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo ndio wamfuate huyo SIJUI NANI awape connection?

Jufunze kumuheshimu kila mtu, huyo NANI SIJUI umeulizwa ndio NANI, unaishia kusema eti mtu mzito, ana kilo ngapi?

Kuna jamaa zangu wawili wote mainjinia, mmoja anakunja 2.5m huyu kasaidiwa na mlinzi kupata kazi tena wale wazee wanaolinda na virungu wa pili anakunja 3.5m na marupurupu kasaidiwa kupata kazi na dereva tu ambaye alikuwa ana muendesha Mzungu.

Acha kukalili.
 
Usipanic relax
Haladu hivi ni kalili au kariri
 
Kitu pekee nilichoelewa ni kwamba yawezekana ukawa na una uwezo mkubwa sana wa kufanya marketing.

Kuhusu hao watu wengi humu wamekiri kutokuwafahamu, sio kwasababu yoyote ile ni kwasababu circles zinatofautiana, Mtu mwingine circle yake ni ya wauza dhahabu wa geita na kahama, watu fulani hivi wana pesa chafu, mwingine circle yake ni ya wanasiasa tu, au Kwa mfano mimi ni bodaboda, circle inayonifaa ni ya wateja wangu na si hao maCEO.

Je kuna kitu cha ziada ulitaka kutuambia kuhusu wewe. Anyways tuwatakie ndoa na harusi njema.
 
Wewe ni mpuuzi, unalazimisha watu kumjua mtu ambae wewe unamuona muhimu?
Kama ni wa muhimu Sana basi nenda na wewe kaolewe nae
 
Ww maisha ushayatoboa tyr au unatoa connection huku ww unaliwa mbususu bila faida yoyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…