Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Dhuuu!!!aisee unakuwa kama umefika mjini Leo kula jambo kwako ni geni sasa huyo jamaa mbona hatujawai msikia alafu kwa kukusaidia hamna mwanamke mjasiliamali below 35 wengi ni coat la kuuza mbususu tu.
You are full of negativity
 
Watu wa twitter lazima mjua JF ni jamii nyingine isiyoendekeza shobo! Humu hakuna kujuana humu watu hawatafuti likes na RT, humu watu hawatafuti followers... Kwa kifupi humu kile kijiji kisichokuwa na watoto hasa watoto kama wewe kwahyo huna budi kurudi ulipotoka!

Nawasilisha
First year mmeshaanza kusumbua wakati mnanuka maziwa
 
Hugo braza fala sana kutwa kukihonga hicho kidemu halafu wala hakishoboki nae sana kama yeye ikitoka simu mpya kanataka sasa mjasiriamali Wa wapi huyo?
 
JF kuna sadist wengi sana Kaka. Mara nyingi wanajiona wanajua vitu vingi na wakishajua hawajui kitu ili kujifariji wanakuattack. Wazoee tu
 
Leo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy

Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii

Ni harusi ambayo utawakuta watu wote ambao wapo kwenye CEOs roundtable namaanisha makampuni mbalimbami ya simu, banki, agencies mbalimbali etc

Ni harusi ambayo unatakiwa uandae business card za kutosha

Ni harusi ambayo ukiitumia vizuri unaweza ondoka na dili la mabilioni

Hata hivyo za ndani kabisa nasikia ni harusi ambayo inawindwa na wadangaji


Gillsant mlaseko ni nani?

Gilsant ni mkurugezi wa kampuni wa SwahiliDigital inayojihusisha na maswala ya digital marketing ambaye kabla ya hapo alifanya kazi kampuni mbalimbali kama kampuni ya simu Airtel kwenye kitengo cha marketing

Ni one of the Guru wa digital marketing nchi hii inayo kwa sasa



Hongera Gilsant my former colleague pale Airtel View attachment 1992480View attachment 1992481


View attachment 1992503
Picha ya mrembo aonekane usoni bhasi
 
Mtu akimuhonga mtuwe pia mna mind? Watu humu mbona mna makasiriko Sana...ulitaka akuhonge ww?
Watu wa humu once wakijua hawajui kitu, kukufanyia bullying ndio option yao ya kujifariji.
 
Back
Top Bottom