Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Kitu pekee nilichoelewa ni kwamba yawezekana ukawa na una uwezo mkubwa sana wa kufanya marketing.
Kuhusu hao watu wengi humu wamekiri kutokuwafahamu, sio kwasababu yoyote ile ni kwasababu circles zinatofautiana, Mtu mwingine circle yake ni ya wauza dhahabu wa geita na kahama, watu fulani hivi wana pesa chafu, mwingine circle yake ni ya wanasiasa tu, au Kwa mfano mimi ni bodaboda, circle inayonifaa ni ya wateja wangu na si hao maCEO.
Je kuna kitu cha ziada ulitaka kutuambia kuhusu wewe. Anyways tuwatakie ndoa na harusi njema.
usihangaishe sana kichwa
Jamaa ni mtu wa digital marketing na ana ushawishi wake twitter, of course couple yao ni maarufu sana twitter na ndoa yao imeisimamisha kiaina
ila ukija kwenye uhalisia, bado sanaa kuwa "celebrities" wa tz kwa sababu watu maarufu wa bongo hii ni aidha uwe kwenye Entertainment industry au siasa.
Hapo utaona mtu kama kigogo, maria Sarungi au Fatma wanatamba twitter ila wanajulikana hadi jf na street kiasi, ila waliopo kwenye technology ambao ndo wengi twitter ni bado sanaaa. Hiki ndicho mleta mada hataki kuamini