Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kuitana hawezi kuwa na muda wa kufatilia ushenzi kama huo, na hata huyu anaezungumziwa ni sawa kijakazi wake tu.Sasa mimi nasubiri msimu nikanunue alizeti Burundi au Singida mwezi wa tano, niweke vijunia vyangu 20 nasubiri kuuza mwezi wa 11 au 12 bei imepanda mara mbili huyo jamaa nitamjulia wapi? Halafu anasema C.E. O roundtable hivi mtu kama Kitana wa mwanza anajua hiyo roundtable inajishughulisha na nini?