Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Si bora ungesema ndoa ya kitale taifa limesimama hao hata hawajulikani
 
Kwaiyo mkuu unamaanisha na wewe wakati unaolewa mlikua mmeshafanikiwa?
Achen ujinga wa kumaliza tu shule twenu huna hata mbele wala nyuma unataka watu wakuchangie ufanye harus kubwa,na ukimaliza hyo harusi unaanza kupiga miayo kama mbwa hata kutafuta hela ya sabuni jero tu huwez,nyambafu

Tena wenye hz tabia ni nyie wenye ushamba wa ku ma unakuta mmezijua ukubwan
 
Kaka /dada/ mkuu Ngoja nikufundishe kitu kimoja kwa niaba ya wana JF wote

Nchini humu katika uwanda wa biashara kuna biashara za aina mbili

B2C na B2B

Wanaofanya biashara za B2C ndio wanajulikana sana sababu wana ingage sana na wateja na matajiri wengi unaowajua wewe ni B2C kina Fredy vunja bei, Michael ngeleku, Aboud hao wengi hufanya biashara za B2C

Ila sasa hao wanaofanya biashara ya B2C kuna watu hufanya nao B2B

Na kwenye B2B ndio hujuana na watu wengi ambao in one way or another itakuwa ni connection na watu

Na kuna matajiri wanapiga hela sana kwa B2B na B2G

Mfano Lugumi anapiga sana hela na B2G na ni ukweli usiopingika kuwa mtu kama Lugumi anaweza kukupa connection ya maana sana ukatoboa hapa nchini kuliko wale wahindi wenye supermarket za shoppers ambao wao hufanya B2C

You get my point

Na kutomjua mtu wewe haizuii kuwa huyo mtu hajulikani sema it's not your cycle

Sasa kama mtu anajulikana na corporates na ceo round table yoote unasema humjui..sikuzuiii ila what you have to do is to take a note kumjua huenda ikawa msaada kwenye maisha yako
Japo mimi na wewe hatujuani lakini amini usiamini kama siwafahamu then they're nobodies.
 
Dhuuu!!!aisee unakuwa kama umefika mjini Leo kula jambo kwako ni geni sasa huyo jamaa mbona hatujawai msikia alafu kwa kukusaidia hamna mwanamke mjasiliamali below 35 wengi ni coat la kuuza mbususu tu.
Lol 😂😂😂
 
Back
Top Bottom