Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa muhimu ni kuuliza na kuelezwa sio hawa wanaoleta makasirikoI am already there and still I know nothing about these 2 people.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdada wa MBA huyo kwenye avatar ni wewe?
#YNWA
Umeuona huo mzigo aliofungashia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achen ujinga wa kumaliza tu shule twenu huna hata mbele wala nyuma unataka watu wakuchangie ufanye harus kubwa,na ukimaliza hyo harusi unaanza kupiga miayo kama mbwa hata kutafuta hela ya sabuni jero tu huwez,nyambafuKwaiyo mkuu unamaanisha na wewe wakati unaolewa mlikua mmeshafanikiwa?
Bila shaka ni taifa la Jamhuri ya TwitterTaifa letu
Japo mimi na wewe hatujuani lakini amini usiamini kama siwafahamu then they're nobodies.Kaka /dada/ mkuu Ngoja nikufundishe kitu kimoja kwa niaba ya wana JF wote
Nchini humu katika uwanda wa biashara kuna biashara za aina mbili
B2C na B2B
Wanaofanya biashara za B2C ndio wanajulikana sana sababu wana ingage sana na wateja na matajiri wengi unaowajua wewe ni B2C kina Fredy vunja bei, Michael ngeleku, Aboud hao wengi hufanya biashara za B2C
Ila sasa hao wanaofanya biashara ya B2C kuna watu hufanya nao B2B
Na kwenye B2B ndio hujuana na watu wengi ambao in one way or another itakuwa ni connection na watu
Na kuna matajiri wanapiga hela sana kwa B2B na B2G
Mfano Lugumi anapiga sana hela na B2G na ni ukweli usiopingika kuwa mtu kama Lugumi anaweza kukupa connection ya maana sana ukatoboa hapa nchini kuliko wale wahindi wenye supermarket za shoppers ambao wao hufanya B2C
You get my point
Na kutomjua mtu wewe haizuii kuwa huyo mtu hajulikani sema it's not your cycle
Sasa kama mtu anajulikana na corporates na ceo round table yoote unasema humjui..sikuzuiii ila what you have to do is to take a note kumjua huenda ikawa msaada kwenye maisha yako
Lol 😂😂😂Dhuuu!!!aisee unakuwa kama umefika mjini Leo kula jambo kwako ni geni sasa huyo jamaa mbona hatujawai msikia alafu kwa kukusaidia hamna mwanamke mjasiliamali below 35 wengi ni coat la kuuza mbususu tu.
😂😂😂dahAna umuhimu kwao acha kutisha watu, hata aliyegundua M PESA hajaleta uzi hapa wewe unakwama wapi,
Hajui kuwa haya ni mataifa mawili tofauti,habari za Senegal huko kuzipeleka Madagascar ukorofi huoooItakuwa lile taifa la twita
Eti taifa litasimamaNdo nani hao?
Hili litakuwa taifa la tweeterUnali zungumzia taifa gani?
Mbona ulivyoanza kuandika kama bado haijafanyika but mwishoni inaonesha imeishakufanyika??Umejuaje aisee si nimechanga .. [emoji23][emoji23][emoji23]