Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Chawa Kaharibu ThreadChawa huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa Kaharibu ThreadChawa huyo
Lenu wewe na nani ?Taifa letu
You are full of negativityDhuuu!!!aisee unakuwa kama umefika mjini Leo kula jambo kwako ni geni sasa huyo jamaa mbona hatujawai msikia alafu kwa kukusaidia hamna mwanamke mjasiliamali below 35 wengi ni coat la kuuza mbususu tu.
First year mmeshaanza kusumbua wakati mnanuka maziwaWatu wa twitter lazima mjua JF ni jamii nyingine isiyoendekeza shobo! Humu hakuna kujuana humu watu hawatafuti likes na RT, humu watu hawatafuti followers... Kwa kifupi humu kile kijiji kisichokuwa na watoto hasa watoto kama wewe kwahyo huna budi kurudi ulipotoka!
Nawasilisha
Mtu akimuhonga mtuwe pia mna mind? Watu humu mbona mna makasiriko Sana...ulitaka akuhonge ww?Hugo braza fala sana kutwa kukihonga hicho kidemu halafu wala hakishoboki nae sana kama yeye ikitoka simu mpya kanataka sasa mjasiriamali Wa wapi huyo?
Picture?Jamaa simfahamu ila hiyo mbususu nimekula miaka kadhaa nyuma.
BTW hongera zao.
Picha ya mrembo aonekane usoni bhasiLeo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy
Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top level CEOs na decision makers wa nchi hii
Ni harusi ambayo utawakuta watu wote ambao wapo kwenye CEOs roundtable namaanisha makampuni mbalimbami ya simu, banki, agencies mbalimbali etc
Ni harusi ambayo unatakiwa uandae business card za kutosha
Ni harusi ambayo ukiitumia vizuri unaweza ondoka na dili la mabilioni
Hata hivyo za ndani kabisa nasikia ni harusi ambayo inawindwa na wadangaji
Gillsant mlaseko ni nani?
Gilsant ni mkurugezi wa kampuni wa SwahiliDigital inayojihusisha na maswala ya digital marketing ambaye kabla ya hapo alifanya kazi kampuni mbalimbali kama kampuni ya simu Airtel kwenye kitengo cha marketing
Ni one of the Guru wa digital marketing nchi hii inayo kwa sasa
Hongera Gilsant my former colleague pale Airtel View attachment 1992480View attachment 1992481
View attachment 1992503
Watu wa humu once wakijua hawajui kitu, kukufanyia bullying ndio option yao ya kujifariji.Mtu akimuhonga mtuwe pia mna mind? Watu humu mbona mna makasiriko Sana...ulitaka akuhonge ww?
Yaani. .... mwingine hapo anajifanya amewahi kumpitia bi harusi, utafikiri kaulizwa..utoto ulioje!!Watu wa humu once wakijua hawajui kitu, kukufanyia bullying ndio option yao ya kujifariji.
Picha iko wapi miss kateWanajulikana Twitter Republic tu...
Dada alijua kuboost nyonyo kwenye sendoff hehe
Hii ndio JF community home of wajuajiYaani. .... mwingine hapo anajifanya amewahi kumpitia bi harusi, utafikiri kaulizwa..utoto ulioje!!
Tena kapewa na ka Highlife ka kianzia.Mbona unaandika kama ndio upo kwenye foleni ya ubwabwa
C.T.UPicha iko wapi miss kate
Unali zungumzia taifa gani?