technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Raisi Magufuli hatatenda kama wewe unavyotegemea! Atatenda yeye anavyoona inafaa. Usimpangie.JohCate na ChaiRookie wanatosha ... Aongee na taifa ili iweje
Nani kampangia ..... Usikate kabla ya konaRaisi Magufuli hatatenda kama wewe unavyotegemea! Atatenda yeye anavyoona inafaa. Usimpangie.
Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.
Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live
Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye utata mkubwa hawezi?
Jamani hivi taifa lilipata Rais wa namna gani angalia mambo na matukio ya kisiasa na kiuchumi yaliyotokea mwaka mzima ina maana hayana nguvu ya kutolewa ufafanuzi?
Swala kama la uchaguzi serikali za mitaa hivi taifa lina Rais wa namna gani? bado natafakari.
Raisi Magufuli hatatenda kama wewe unavyotegemea! Atatenda yeye anavyoona inafaa. Usimpangie.
Mmekosa cha kukosoa kupitia matamshi ya RaisJamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.
Mkuu sasa ivi sio Viwanda tena..Inasikitisha sana,si angalao hata angekuja kuuzindua Mwaka mpya halafu aanze porojo zake za Serikali ya viwanda.
Lakini kweli..si angeweka hata Jiwe la Msingi la mwaka mpya..!!Inasikitisha sana,si angalao hata angekuja kuuzindua Mwaka mpya halafu aanze porojo zake za Serikali ya viwanda.
Dogo kunywa maji ulaleJamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.