Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

Marekani wana kitu inaitwa State of the Union. Hata kama Rais ni CHIZI lazima aongee na nchi.

kila mwanzo wa mwaka. 2020 ni tarehe 4 Februari. Naisubiri, InshaAllah.
 
Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.

Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live

Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye utata mkubwa hawezi?

Jamani hivi taifa lilipata Rais wa namna gani angalia mambo na matukio ya kisiasa na kiuchumi yaliyotokea mwaka mzima ina maana hayana nguvu ya kutolewa ufafanuzi?

Swala kama la uchaguzi serikali za mitaa hivi taifa lina Rais wa namna gani? bado natafakari.
Pumzi imekata hana cha kuongea kwa mfano uchaguzi was serikali za mitaa jinsi walivyojivua nguo ataongea nini sasa!?
 
Naona jamaa una kahamu ka kutekwa mwanzoni tu mwa mwaka
 
Oya TZ siyo States usilete habari za 1st Amendment huku uswahilini.

Kwa States inatajwa kwenye First Ammendment,Tanzania inatajwa kwenye Bill of Right,Haki za Binadamu kwamba mtu yuko huru kujieleza na kutoa maoni yake

Nimetaja First Ammendment kukupa ninachomaanisha,maana kwenye katiba yetu hawajatenganisha kama States

Au umechukia kutaja States?

Pasuka kama vipi,or jump over the ocean!
 
Lakini kweli..si angeweka hata Jiwe la Msingi la mwaka mpya..!!
Halafu atatuambia huu mwaka umekuja kwa juhudi zake kwa hiyo tumsifie au tutakuwa tumetumwa na mabeberu halafu atubambikie kesi ya Utakatishaji wa fedha na uhujumu uchumi
Baada ya muda atatuambia tulipe fedha tulizozitakatisha halafu atutie kwenye msamaha ujao
 
..akiongea neno moja zuri, anaongeza mawili mabaya.

..pia I am not comfortable kusikiliza hotuba zake nikiwa na wanangu au na mama watoto kutokana na lugha za ukakasi anazotumia.
 
Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.

Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live

Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye utata mkubwa hawezi?

Jamani hivi taifa lilipata Rais wa namna gani angalia mambo na matukio ya kisiasa na kiuchumi yaliyotokea mwaka mzima ina maana hayana nguvu ya kutolewa ufafanuzi?

Swala kama la uchaguzi serikali za mitaa hivi taifa lina Rais wa namna gani? bado natafakari.
Mbona Kama mkuu umehama na Akili za 2019 zilizo jaa Vijembe.

Sasa Kama Mwanaume mwenzako kaamua kukaa kimya wewe kimekuuma Nini?
Je nje na Rais Magufuli, Marais wa mataifa makubwa kama China,Urusi,Uk na USA wameongea na wananchi wao?

Vipi kuhusu D. Trump wa marekani Ametolea ufafanuzi wa kina juu ya habari zake za kutumia vibaya Madaraka?

Ahsante Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais huyu Mwaka wa nne sasa hajatutumia salaam za mwaka mpya.
 
Back
Top Bottom