Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mungu si Athumani , ulichonifurahisha ni kwamba kumbe unajua kwamba wananchi wanaumia , Kiongozi anayeumiza wananchi hafai kabisa

Do you know the importance of the President's speech to the nation?mnapenda sana maneno maneno
mnapenda kudanganywa danganywa
ndio mnataka hayo.......
Aongee na nan? Nan atamsikiliza? Tunawaza kulisha watoto na kupeleka shule watoto kwaugumu sana, yeye aendele na diamond wake sisi tunamsubir kwenye box la kura
Aongee nini?Nilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.
Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.
Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.
Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.
Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.
Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.
Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.
Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".
Sent using Jamii Forums mobile app
shida ni kwamba watu ndo hawana cha kufanya penda wasipende ni sawa na mwanamke aliyeolewa kwa mwanaume katili analia tu kila siku mana kamtishia ukiwambia ndugu zako nitakuuaMungu si Athumani , ulichonifurahisha ni kwamba kumbe unajua kwamba wananchi wanaumia , Kiongozi anayeumiza wananchi hafai kabisa
Kwani amekuwa Mungu Tusimkosoe?Kila sku unamponda na kumsimanga humu, leo unataka aongee na taifa, akishaongea badae umkosoe alichongea ...., mara alikosea kusema hvi, mara ana kibur, yaan bla bla nyingi...
fanyeni kazi zingine bhana aah
Mungu si Athumani , ulichonifurahisha ni kwamba kumbe unajua kwamba wananchi wanaumia , Kiongozi anayeumiza wananchi hafai kabisa
Aongee na nan? Nan atamsikiliza? Tunawaza kulisha watoto na kupeleka shule watoto kwaugumu sana, yeye aendele na diamond wake sisi tunamsubir kwenye box la kura
Unataka akiongea pumba tupige tu makofi; au wewe unawaleaje watoto wako ? kila kitu kwako ni sawa tu. Kwa maana nyingine unamdhauri mh Rais kua asiongee kwasababu kuna watu watachallange hotuba yake?Kila sku unamponda na kumsimanga humu, leo unataka aongee na taifa, akishaongea badae umkosoe alichongea ...., mara alikosea kusema hvi, mara ana kibur, yaan bla bla nyingi...
fanyeni kazi zingine bhana aah
Aisee... So zile huwa ni hotuba kwa Taifa!??jinga sana wewe kila siku anahutubia mikoa tofauti tofauti humuoni? una akili matope sana
Wewe ndiye unayeumiaMungu si Athumani , ulichonifurahisha ni kwamba kumbe unajua kwamba wananchi wanaumia , Kiongozi anayeumiza wananchi hafai kabisa
Mnafiki tu wewe
Hizo zilikuwa siasa za kitapeli uongo na udanganyifuwananchi wenyewe wanaona mabarabara, ndege, miradi mikubwa hakuna ujambazi hakuna wizi ajali zimepungua unataka aongee nn wakati matendo yanaongea shut upNilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.
Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.
Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.
Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.
Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.
Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.
Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.
Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tajiri anayeumia , tabu iko kwa masikiniUnaumia
Wewe ndiye unayeumia
Majizi ndiyo yanaumia mauza unga mihadarati na matapeli wananchi tunadunda tuHakuna tajiri anayeumia , tabu iko kwa masikini
huyo alipata urais kwa bahati mbaya
Nilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.