Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

Nilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.
Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.
Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.
Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.
Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.
Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.
Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.
Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".

Sent using Jamii Forums mobile app

Uzuri mkuu unajulikana. Lazima umtaje JPM. Akae kimya. Aongee lazima utafute jambo. Utakuwa unaumwa ugonjwa mbaya sana. Stalker wa JPM. Embu Jaribuni kufanya kazi na kusifia vyenu. Ukiona mtu anamtaja sana mtu mwingine ujue anampenda. Au kalipwa. Au njia zake ovu zimeminywa So tell us which one.
 
Kila sku unamponda na kumsimanga humu, leo unataka aongee na taifa, akishaongea badae umkosoe alichongea ...., mara alikosea kusema hvi, mara ana kibur, yaan bla bla nyingi...
fanyeni kazi zingine bhana aah
Kwahiyo akihamua akaongea wewe utamuelewaje rais utaona hafai sio?
 
Rais kuongea lazima awe na Jambo la kuongea sasa kwa sasa kama ndege ameshaongea mpaka hata yy anafeel aibu
Nilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.

Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.

Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.

Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.

Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.

Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.

Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.

Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.

Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.

Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.

Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.

Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.

Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.

Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.

Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uwezo gani alionao kwa mfano,sana sana ataishia kutupigia kelele za ccm oyee,na kututajia SGR na barabara ambazo yeye pekee ndo anajua zinajengwa wapi
 
Nilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.

Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.

Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.

Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.

Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.

Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.

Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.

Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi zile video za mauaji yako fake umeshapeleka kwa mabeberu wako huko US kama ulivyoahidi? Pia vipi biashara yako ya kuuza bia hapo Kenya inaendeleaje?
 
Hizo zilikuwa siasa za kitapeli uongo na udanganyifuwananchi wenyewe wanaona mabarabara, ndege, miradi mikubwa hakuna ujambazi hakuna wizi ajali zimepungua unataka aongee nn wakati matendo yanaongea shut up
Watu wanakula ndege? Ndege zina impact gani kiuchumi Tanzania?
Miaka minne ya Urais wake imejenga Barabara za km ngapi za Lami?
Wewe na wenzako mnastahili kupigwa risasi hadharani kwa kushabikia uhujumu uchumi wa Tanzania.
Chini ya utawala wake uchumi umekufa halafu unashabikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sisi tunamsubir kwenye box la kura

Wewe bado upo usingizini, wewe hujui 2020 ni mwendo wa bao la mkono??!!, Askari polisi ni mali yao, jeshi ni mali yao, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ni mtu wao, wao ndio wanatoa pesa ya uchaguzi na gharama zote, TBC ni yao wao wanafanya kampeni huku nyinyi mmezuiwa nk, sasa katika matokeo atangazwe mtu mwingine???🤣🤣, kalagabaho.
 
Uzuri mkuu unajulikana. Lazima umtaje JPM. Akae kimya. Aongee lazima utafute jambo. Utakuwa unaumwa ugonjwa mbaya sana. Stalker wa JPM. Embu Jaribuni kufanya kazi na kusifia vyenu. Ukiona mtu anamtaja sana mtu mwingine ujue anampenda. Au kalipwa. Au njia zake ovu zimeminywa So tell us which one.

A fallible mankind feels the difference and suffers compassion on others, kama nyie sijawahi kuona.
Watu wanatekwa na kuuawa kila siku, you don't feel the pains, uchumi umekufa, you don't feel the pains, kuna majobless kibao mitaani, you don't feel the pains.
Nyie ni nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitarajia jana ningemwona Rais wetu mpendwa akihutubia taifa na kutueleza nchi ilikofikia kimaendeleo, hasa ktk sekta ya Elimu ,Afya ,Ulinzi na Uchumi.

Hotuba ya Rais kuingia mwaka mpya huwa ni muhimu mno kuliko hata hotuba ya kila mwezi.

Bahati mbaya ni kwamba, tangu Rais Magufuli aingie madarakani zaidi ya miaka minne iliyopita hajawahi kuhutubia taifa, ni ajabu sana.

Hotuba ya Rais kwa taifa huondoa minong'ono na tetesi mbaya zinazokatisha tamaa kwa wananchi.

Hotuba ya Rais kwa taifa hujenga matumaini mapya kwa wananchi waliokata tamaa.

Sasa Rais wetu hajawahi kuhutubia taifa na inaonekana hana mpango huo.

Angeweza kuhutubia taifa hata akiwa Chato mapumzikoni, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuhutubia Taifa akiwa amelazwa Hospital nje ya nchi Uswisi.

Maneno ya Tundu Lissu yataishi hakika.
"Tuna Rais wa ajabu haijawahi kutokea ".

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini chadema ndio mnataka aongee ili iweje mnamchukia ila unataka awambie kitu,kajuzeni hukohuko

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni majungu!
Fanyeni kazi mlishe na kusomesha watoto wenu!

Kila hotuba ya rais hurushwa na kutangazwa live nchi nzima.

Na rais anapohutubia huwa ni ujumbe kwa Taifa zima no matter kaongelea wapi.

Kila kiongozi ana mfumo wake wa ufanyaji kazi.
La msingi pale ni malengo matarajio yake kutimizwa ili kuliletea taifa maendeleo.

Hotuba hata ikiwa tamu namna gani, kama hakuna matendo thabiti hiyo inabaki kuwa blah blah!

Ndio maana Obama hakuwa na tweets, lakini trump anashinda twitter na kina fyatu karume.

Kwa hiyo acha chuki binafsi kwa jembe letu JPM [emoji1241][emoji818]2025 [emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom