Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,829
Kaharibu uchumi wa nchi, kaibebesha nchi deni kubwa kwa gharama za kubaki madarakani 2020, kwa kununua wapinzani
Sema alichokufanya....kaziba mianya yote
Kaharibu uchumi wa nchi, kaibebesha nchi deni kubwa kwa gharama za kubaki madarakani 2020, kwa kununua wapinzani
Hana ubavu huo, Rwanda, Kenya, Botswana wananihitaji, Mimi ni miongoni mwa watanzania tuliopata elimu muafakaSema alichokufanya....kaziba mianya yote
Hana ubavu huo, Rwanda, Kenya, Botswana wananihitaji, Mimi ni miongoni mwa watanzania tuliopata elimu muafaka
Aliongea nao kupitia Diamond Platnilumz wakiwa kwenye show Kighoma, au ulitakaje Mkuu.Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.
Anapenda mpaka awe na jopo la watu wote kufanya uzinduzi wa visima vya shule akiwa live
Ila kuchukua hata saa 1 kuongea na taifa na kutoa matumaini mapya kwa mambo ambayo yanaendelea yenye utata mkubwa hawezi?
Jamani hivi taifa lilipata Rais wa namna gani angalia mambo na matukio ya kisiasa na kiuchumi yaliyotokea mwaka mzima ina maana hayana nguvu ya kutolewa ufafanuzi?
Swala kama la uchaguzi serikali za mitaa hivi taifa lina Rais wa namna gani? bado natafakari.
Sasa wewe na akili Yako unaona yaliokuwa yakifanyika huko nyuma ni bora zaidi ya haya yanayofanyika sasa. Ndio yalikuwa ya kimjinimjiniMiundombinu bila maisha na utawala bora ni umaskini...!!
Alafu fahamu kuwa ushamba si umjini na ukijijini... Ni mtazamo wa akili ya mtu!
Jamani mwisho wa mwaka baada Rais atokee aongee na taifa atoe matumaini mapya kwa nchi yeye haonekani.