Taifa lina Rais gani asiyependa kuongea na wananchi?

Amegundua hana jipya zaidi ya sgr, stiglers. Bomberdiers flyovers, wananchi wamrmchoka
 

mnapenda sana maneno maneno

mnapenda kudanganywa danganywa

ndio mnataka hayo.......
 
Acha kupenda matumaini wakati hali yako ya mfuko unaijua na haiwezi kubadirika,matumaini yalikua awamu iliyopita mnajua kabisa mnadanganywa ila mnaridhika.

macson
 

Ni bora tu akae kimya maana hotuba zake zinaeleweka, hayo unayotarajia aongee hatayaongea, na hata akiyaongea hayatakufurahisha.
 
Mmekosa cha kukosoa kupitia matamshi ya Rais
Si mnasema hutoba zake zinachefua?
Fanya ibada utapata matumaini,huu si wakati wa kuongea ongea,hapa kazi tu
Greyson ametoa press release kurugenzi ya mawasiliano ikulu kutokea rubondo eti "raisi acheka"
 
Hajaalikwa kuweka jiwe la msingi la mwaka mpya sasa ahutubie wapi? Ndugai karudi kwao Kongwa na Ibrahim katoka kumchefua juzi unataka aambatane na nani kwenye uzinduzi wa mwaka?
Amdikeni vitabu vya mashahiri muuze mpate hela kwani nyie ni mabingwa wa ngonjera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais? Ha! Ukweli mchungu ni kwamba, Watanzania waliuziwa "mbuzi kwenye gunia".
 
Nilichoka speech za Rais enzi za Ben nikapoteza kuona umuhimu wake enzi za JK. Huyu wa sasa ni bora akiwa kimya kuliko akifungua kinywa.
 
Watu wana maneno..eti aje kuuzindua hata mwaka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…