Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!

Ilitakiwa bwanamkubwa awe nae anatoa hotuba ya kujiuzuru kama Zuma, kwa tuhuma ya kuvitumia "vyombo" vya wananchi kufanya uhalifu ikiwemo kuua watu wanatofautiana kimawazo na bwanamkubwa!

Huu ni ushetani mkubwa!

I wishh CCM ingekuwa ina nguvu kama ANC lakini ilivyo CCM inayopenda kukumbatia maovu nani wakumgusa mwenzake?Awamu ya tatu au ya nne?Awamu ya pili alijitahidi naona akazibwa mdomo sijui aliambiwa nini alipotoka Mbinguni akaja na salamu nyingine kabisa.

Ila huyu wa awamu ya kwanza anayo moral authority ya kukemea nahisi ssoon atakemea ni muda tu
 
Paskali, akiona kiongozi wa upinzani anauawa na watu wanaojulikana hatatoa taarifa ili wafuasi wake wasije wakafanya vurugu, hivyo atakuwa amelinda maslahi ya nchi!
 
Pasco Mayala atazunguka mbali lakini Ukweli unajulikana kwani wate waliopanga na kufanikisha shambulio la Lisu wanajulikana, kumbuka Lipumba aliwaleta watu toka Rwanda lakini kwenye Nissan nyeupe wakamweka Jerry muro asiye na uzoefu wa matukio wao wakakaa kwenye Gari la pili lililosimama Getini kusubiria wale wa Nissan nyeupe wafanye shambulio kwa Lisu, polisiccm walipewa Amri na Maliyamungu Bashite waache kuwafuatilia lakini wanajua Ukweli wote.
 
Only God!
 
Mimi namtaja,ni Magufuli
 
Ya lisu muulizeni mwenyekiti wa maisha&dereva wake ambaye bado anatibiwa kisaikolojia[emoji22] [emoji12]
kumbuka washambuliaji walienda kumimina Risasi wakiwa na nia ya kuwaua wote, je Dereva angekufa ungehoji maiti? Kawahoji wakinzi wa getini kwa nini hawakujibu mapigo wakati walikuwa na bunduki? Zile camera za getini kwa nini zimetolewa? Acha kuishi kwa kukariri
 
Halafu mnalalamika tunaminywa uhuru wa habari na kutoa maoni kumbe inawezekana ukataja watu majina na bado usikamatwe,bado naamini lissu alipanga mpango wa kujiongeza kisiasa,saanane chadema wanajua mpango wake!
Mbona makonda Maliyamungu Bashite alitaja List ya wauza Unga yenye majina feki mengi hakukamatwa? wewe utakuwa Jerry muro unataka kuvuruga mada makusudi baada ya kuona Siri zinatoka live.
 
Huyu Ngurumo anaweza kuwa tayari anafuatiliwa na polisi/ watu wasiojulikana; ili akamatwe/ auwawe au apotezwe. Kukamatwa kwake kutatokea kwa sababu ya 'uzushi' au 'ukweli' wa alichoandika.
Hii mikwara ya kishamba shamba ndiyo ilipelekea Zito kabwe akasema Nchi inaongozwa na washamba watupu, sasa wanatumia wasiojulikana na polisiccm kuwaziba watu midomo, endeleeni na huo ushamba wenu ipo siku mtaumbuka hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake.
 
Kujidungua mwenyewe
Ngulumo ameamua kujilipua ili polisi wahudhurie kwenye tukio na ndipo maswali yasiyo kuwa na majibu yapate kujibiwa.
Unadhani Gulumo hana uelewa na sheria ya mitandao! Na jinsi ilivyo boreshwa ili kuiwezesha serikali kukita kucha zake kwenye kolomeo la yeyote anaebweka kinyume cha matakwa ya waheshimiwa? Vipi kuhusu wimbo wetu mashuhuri wa uchochezi! Nao pia hafahamu na kuwa aweza kuimbiwa wakati wowote?
GULUMO kajilipua makusudi ili wampeleke kwa Pilato huko ukweli wote ukawekwe hadharani na mwinda si ajabu kugeuka kuwa mwindwa!
Si kweli kuwa wasio julikana hawajulikani na si kweli kuwa alietoa zile cctv camera hajulikani anajulikana sana, wala haingii akilini kuwa vyombo vyetu vyote vimeikosa pointi (a) ya mkasa wa Lisu.
Kilichopo ndio hicho Gulumo anakitaka kaingiza kijiti kwenye shimo la siafu ili akichomoa atoke nao.
Kwangu mimi Gulumo kaponda jiwe kichakani, aliemo apime maamuzi kwa busara je alieponda kamaanisha nitoke tupambane au kajipondea tu ili kujifurahisha, nasubili kuona.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…