Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
Timu iliyokwenda Dodoma kumpiga Lisu Risasi ni Le mutuz, Lipumba Jerry muro na Maliyamungu Bashite sio siri tena
Ah!Walikuwepo huko nini!Makubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu iliyokwenda Dodoma kumpiga Lisu Risasi ni Le mutuz, Lipumba Jerry muro na Maliyamungu Bashite sio siri tena
Ilitakiwa bwanamkubwa awe nae anatoa hotuba ya kujiuzuru kama Zuma, kwa tuhuma ya kuvitumia "vyombo" vya wananchi kufanya uhalifu ikiwemo kuua watu wanatofautiana kimawazo na bwanamkubwa!
Huu ni ushetani mkubwa!
Only God!Pascal Mayalla Paskali, tunazuguka mbuyu, haya mauaji yote, utekaji, upotezwaji and all evils against upinzani, anayeamrisha yote haya anajulikana. Kila mmoja anamjua, na wewe unamjua (tafadhali nyamaza, usijiweke kwenye matatizo kumtaja), na shetani anamjua, na Mungu anamjua, na Pope anamjua wooooooooooooooooooooooooooooooooooooote wanamjua. Ni muda ndio utasema!
Mimi namtaja,ni MagufuliPascal Mayalla Paskali, tunazuguka mbuyu, haya mauaji yote, utekaji, upotezwaji and all evils against upinzani, anayeamrisha yote haya anajulikana. Kila mmoja anamjua, na wewe unamjua (tafadhali nyamaza, usijiweke kwenye matatizo kumtaja), na shetani anamjua, na Mungu anamjua, na Pope anamjua wooooooooooooooooooooooooooooooooooooote wanamjua. Ni muda ndio utasema!
kumbuka washambuliaji walienda kumimina Risasi wakiwa na nia ya kuwaua wote, je Dereva angekufa ungehoji maiti? Kawahoji wakinzi wa getini kwa nini hawakujibu mapigo wakati walikuwa na bunduki? Zile camera za getini kwa nini zimetolewa? Acha kuishi kwa kukaririYa lisu muulizeni mwenyekiti wa maisha&dereva wake ambaye bado anatibiwa kisaikolojia[emoji22] [emoji12]
Dereva wa beni saanane nae amegoma kuhojiwa kiasi kwamba jamaa imeshindikana kupata taarifa za upotevu wake?Chadema iruhusu dereva ahojiwe, Hizi zingine ni political stories
Mbona makonda Maliyamungu Bashite alitaja List ya wauza Unga yenye majina feki mengi hakukamatwa? wewe utakuwa Jerry muro unataka kuvuruga mada makusudi baada ya kuona Siri zinatoka live.Halafu mnalalamika tunaminywa uhuru wa habari na kutoa maoni kumbe inawezekana ukataja watu majina na bado usikamatwe,bado naamini lissu alipanga mpango wa kujiongeza kisiasa,saanane chadema wanajua mpango wake!
Hii mikwara ya kishamba shamba ndiyo ilipelekea Zito kabwe akasema Nchi inaongozwa na washamba watupu, sasa wanatumia wasiojulikana na polisiccm kuwaziba watu midomo, endeleeni na huo ushamba wenu ipo siku mtaumbuka hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake.Huyu Ngurumo anaweza kuwa tayari anafuatiliwa na polisi/ watu wasiojulikana; ili akamatwe/ auwawe au apotezwe. Kukamatwa kwake kutatokea kwa sababu ya 'uzushi' au 'ukweli' wa alichoandika.
Hilo swali fikirishiDereva wa beni saanane nae amegoma kuhojiwa kiasi kwamba jamaa imeshindikana kupata taarifa za upotevu wake?
Chadema iruhusu dereva ahojiwe, Hizi zingine ni political stories