Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Itasaidia nini?! Kama juzi tu mwingine ametekwa na baadaye kuokotwa huko coco beach. Na waliolitotea taarifa sasa wanaambiwa wawe tayari kwa mahojiano!!Chadema iruhusu dereva ahojiwe, Hizi zingine ni political stories
Hivi kwani tuna IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani?
Huyu jamaa kwa kutamka hivyo tu alipaswa atuachie ofisi yetu ya Magogoni, kwa kuwa tayari ameabuse power tuliyompa ya kutuongiza bila kujali tofauti zetu itikadi za kisiasa....."Nakuagiza Mh Spika washughulikie huko ndani ya bunge wale walopokaji wote (Wabunge wa upinzani), na wakija huku nje ya bunge mimi nitawashughulikia"..... By baya ubaya
"Nashangaa sana hadi sasa wasaliti (wapinzani) bado wanaendelea kusurvive"..... By baba ubaya.
Huyu ndio sterling wa shambulio la Mh Lissu.
Naomba kujuzwa zaidi, ina maana mtu akiiba kamera ndo ameiba clips ambazo zimerekodiwa? savers zinakaa katika CCTV cameras?kumbuka washambuliaji walienda kumimina Risasi wakiwa na nia ya kuwaua wote, je Dereva angekufa ungehoji maiti? Kawahoji wakinzi wa getini kwa nini hawakujibu mapigo wakati walikuwa na bunduki? Zile camera za getini kwa nini zimetolewa? Acha kuishi kwa kukariri
dereva alikuwa anaendesha gari, hata akihojiwa unafikiri atasema nini zaidi ya kwamba “ni kweli walishambuliwa kwa risasi na watu ambao hakuwatambua” . Nadhani uchunguzi ni kwenye kamera, walinzi wa lile eneo na namba ya gari iliyotajwa awali.
Hizi hbr za dereva hazina maana, swali majambazi yakivamia nyumbani na kuua familia nzima uchunguzi unaanzia wapi? Acha polisi wafanye kazi yao usiwaletee majibu mepesi na ya kijinga kama haya
Kama unajua hawapo sasa unataka wakina nani wafanye uchunguzi na upelelezi? Jua tu hawapo basi hawapo halafu fikiria namna ya kujisaidia mwenyewe!
[emoji40] [emoji85] [emoji87]Mimi namtaja,ni Magufuli
Hujui majukumu ya FBIwaruhusu tu FBI na scotland yard kuja,yaishe haya
Dah!Hata kama ni kada wewe mwisho.Pole.Nimekusikia kwa maana ukiwa Mpinzani automatically unapoteza haki zako zote za msingi ikiwemo na URAIA.Hongereni CCM
Polisi wanafanya kazi gani wasiwabaini? Ni ukweli wanashirikiana nao kwa karibu. Hili jitu letu la magogoni limejifunza kwa Kagame na M&Inawezekana kuwa kweli ni Polisi au la,yawezekana pia siyo Polisi ni wale wacheza shoo stajini wakati wa kampeni.Nakumbuka kabla ya Uchaguzi wa 2015 hawa wacheza stajini waliwekwa kwenye misitu fulani hukooooooooooooooooooooooooo TBR wakawa wanapewa mafunzo makubwa sana hasa ya kufanya mauaji,hivyo tunaweza bila kujua tukawasema Polisi lakini ndani kabisa Polisi nao ni watumiwa tu.Ila wanaingia kwenye mtego sababu wameshindwa kufanya wajibu wao kama Polisi
Walevi wa Madaraka huwa hawajui hayo!!Moja kati ya vitu ninavyo vipenda sana kwa Mungu ni hiki; Wote tutakufa. Wauaji, wapanga mipango ya kuua watu, wanao ua kwa bahati mbaya, matajiri, masikini, wasomi, mbumbumbu, wenye vyeo na wasio na vyeo, wote tu tutakufa; Hilo ninalipenda na lina usawa ndani yake. Ulindwe na mbwa, bunduki, waganga, majini wote tu tutakufa siku moja. Ningependa binadamu wote tulikumbuke hilo and something very good is, hatujui siku wala saa tutakayo KUFA. Bora kumcha Mungu
Mbona ufahamu unatia shaka ? Ebu soma ulichoandika, Watu wanatekwa, wanauawa, wao wanafanya uchunguzi usiokuwepo. Asiye na maarifa ni weweTatizo lako una imani badala ya maarifa. Ukiamini katika kitu huwezi kuona upungufu wake. Unajua impact ya kusema nchi haina IGP wala Waziri was Mambo ya Ndani?
Ungejua una haki ya uraia ungetimiza wajibu wako was kuheshimu mamlaka.
Huwezi kudai haki pasipo wajibu, unapata wapi uhalali wa kuiai huduma taasisi ambayo una amini haipo?
Tatizo la kuvamia vitu pasipo maarifa ndio hili. Viongozi wa juu kabisa wanaoheshimika wa upinzani wanaheshimu na kuzitambua mamlaka vilivyo Leo kajitu tu ambacho hata hakafahamu chochote kanajitokeza kusema IGP hayupo.!!!!!!
Jamani jamani siasa inahitaji ufahamu kwanza, hata kama una manoeuvre, you manoeuvre within the lines and NOT out of blue.
Tatizo lako una imani badala ya maarifa. Ukiamini katika kitu huwezi kuona upungufu wake. Unajua impact ya kusema nchi haina IGP wala Waziri was Mambo ya Ndani?
Ungejua una haki ya uraia ungetimiza wajibu wako was kuheshimu mamlaka.
Huwezi kudai haki pasipo wajibu, unapata wapi uhalali wa kuiai huduma taasisi ambayo una amini haipo?
Tatizo la kuvamia vitu pasipo maarifa ndio hili. Viongozi wa juu kabisa wanaoheshimika wa upinzani wanaheshimu na kuzitambua mamlaka vilivyo Leo kajitu tu ambacho hata hakafahamu chochote kanajitokeza kusema IGP hayupo.!!!!!!
Jamani jamani siasa inahitaji ufahamu kwanza, hata kama una manoeuvre, you manoeuvre within the lines and NOT out of blue.
Polisi wanafanya kazi gani wasiwabaini? Ni ukweli wanashirikiana nao kwa karibu. Hili jitu letu la magogoni limejifunza kwa Kagame na M&
nayajua majukumu ya green guards na zanzibar tu, ubalozi wa marekani ulisema upo tayari kusaidia issue ya upelelezi wa lissu,ccm wakakataa kwa madai kwamba polisi itaweza hiyo kazi?Hujui majukumu ya FBI
Mbona ufahamu unatia shaka ? Ebu soma ulichoandika, Watu wanatekwa, wanauawa majinga yako yanafanya uchunguzi usiokuwepo. Asiye na maarifa ni wewe unatii mamlaka ya mapepo.