Tatizo lako una imani badala ya maarifa. Ukiamini katika kitu huwezi kuona upungufu wake. Unajua impact ya kusema nchi haina IGP wala Waziri was Mambo ya Ndani?
Ungejua una haki ya uraia ungetimiza wajibu wako was kuheshimu mamlaka.
Huwezi kudai haki pasipo wajibu, unapata wapi uhalali wa kuiai huduma taasisi ambayo una amini haipo?
Tatizo la kuvamia vitu pasipo maarifa ndio hili. Viongozi wa juu kabisa wanaoheshimika wa upinzani wanaheshimu na kuzitambua mamlaka vilivyo Leo kajitu tu ambacho hata hakafahamu chochote kanajitokeza kusema IGP hayupo.!!!!!!
Jamani jamani siasa inahitaji ufahamu kwanza, hata kama una manoeuvre, you manoeuvre within the lines and NOT out of blue.
Kabla sijaiheshimu MAMLAKA,hiyo MAMLAKA inayotaka kuheshimiwa inatakiwa iheshimu si RAIA tu bali uhai wa kila RAIA.Baba anapobehave nyumbani usimlaumu mtoto kwa kumdharau.
Unayatetea sababu unafadhila unazipata toka huko na wanaouawa bila hatia hawakuhusu sababu ni wapinzani na specifically mnakaa chini nakusema ah liache lipinzani lile na life tu,huku mkidhani kwa vile nyie ni wanachama wa Chama tawala basi mnahaki.
Utamuona IGP au Waziri wa Mambo ya Ndani au Rais kwa matendo yake.Yanapotokea mauji ya kila mara na ya upande mmoja mwenye dhaman lazima ashtuke kama hashtuki maana yake hao watu hawapo.
Haingii akilini Waziri wa Mambo ya ndani yupo busy kwenye kampeni za Ubunge na udiwani anaifanya kazi yake muda gani?Mauaji yanatokea yuko busy anatweet yuko kwenye kampeni,hivi mpaka uovu gani au nani auawe ndiyo muone kuna shida?
Sipendi mauaji ya raia yoyote,na for your information HESHIMA ni kama msumeno unakata kotekote.Pole sana.Siku yatakapokukuta sidhani kama kuna mtu atakusikiliza sababu hupata hata nafasi ya kuwatetea walioumizwa.Kuna mayatima wangapi tunawatengeneza kwa mikono yetu?
Hakuna SIASA kwenye maisha ya bindamu yeyote.Hata awe jambazi kama itawezekana kumkamata bila kumua ni bora zaidi kuliko kumuua kuna sababu nyingi kwanini asiuawe kama uwezekano wa kumpata akiwa hai upo.
Kama Serikali ya JPM inaona kuua wapinzani ndiyo kuijenga CCM basi ajue anaimaliza na si kuijenga.Chaguo ni lenu wanachama wa CCM,ANC iliamua Taifa lao kwanza Jacob Zuma baadaye (Chama) baadaye.
Na Zuma amesema asingependa hata RAIA wake mmoja aumizwe au kupotea kwa sababu yake au Chama chake kuvurugika,huyu naye aliliona la Taifa kwanza na Chama chake baadaye.
Nyie wanywa Maji ya bendera endeleeni Chama kwanza Taifa Baadaye yatakapokuja kuwasibu mtatupa taarifa.
Lakini hakuna Heshima bila kuheshimu