Taifa linapaswa kujua kiasi cha pesa kinachotumika kwenye michakato ya uchepukaji kila mwaka

Taifa linapaswa kujua kiasi cha pesa kinachotumika kwenye michakato ya uchepukaji kila mwaka

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Amani iwe nanyi

Ukiutafakari uchepukaji kwa makini ni reflection ya maendeleo, je uwekwe kwenye criteria za kupima maendeleo ya kaya?

Baada ya kujiuliza hilo swala, mchakato wa uchepukaji una gharama kwenye household income and expenditure. Je hakuna sababu za ku establish total cost incurred kwenye michakato ya uchepukaji?

Ata tukipata estimated figures annually ili tujue projections for coming 5 years.

Taifa lina haki ya kupata hizi figures
 
Back
Top Bottom