CHADEMA imewaachia kila kitu mkitawale, iwe bunge, halmashauri na vijiji/mitaa. Kazi imewashinda mmeamua kuifuata kwa maneno ya kijinga. Shughulieni umeme, maji, ajira kwa vijana, mfumuko wa Bei na kushuka kwa pato la taifa.
CHADEMA imewaachia uwanja mfanye mpendavyo lakini mnawafuatilia tu.