johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ujinga ni kukubali tu kila kitu.Acha ujinga
Ni askofu wa wapi?.......anatambulika?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga ni kukubali tu kila kitu.Acha ujinga
mse@#$enge kweli wewe!Akili itakukaa sawa tu upende usipende.
Tanzania ni nchi siyo Saccos ya yule bwanako
Angekua CCM mngemtambua!Ujinga ni kukubali tu kila kitu.
Ni askofu wa wapi?.......anatambulika?!!
Kwani yuko chama gani?Angekua CCM mngemtambua!
Usishirikishe Taifa kwenye ujinga. Mamakula ajitetee mwenyewe tuna matatizo mengi sana hayo ajinasue tu
Katiba haina chamaKwani yuko chama gani?
Lelo umekuwa itondo! Wewe hapa umetumia hekima gani zaidi ya kuuonyesha upuuzi uliotukuka? Kama la kupaza sauti halijakubariki ungepita hivi ukaishia bondeni! Itondo lya warimu kabisa!Yaani Taifa zima lipaze sauti kwaajili ya mpuuzi mmoja asiye na hekima?
Acha bangeUjinga ni kukubali tu kila kitu.
Ni askofu wa wapi?.......anatambulika?!!
SijuiKwani yuko chama gani?
Masheikh unaodai wapo jela walikuwa wanapigania katiba mpya?MASHEIKH KWA MADAZAN WAPO JELA LEO HII KAASKOFU KAMOJA TU:TANZANIA HAITOPATA MAENDELEO KWA SABABU YA UKABILA,UDINI NA UBINAFSI MUNGU HAWAPENDI WATU WENYE HIANA NA UNAFIKI