Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Hilo sii muhimu,muhimu zaidi askofu achiliwe Bila masharti yeyote tena mara moja.Ni askofu wa dhehebu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sii muhimu,muhimu zaidi askofu achiliwe Bila masharti yeyote tena mara moja.Ni askofu wa dhehebu gani?
Askofu wa dhehebu gani anatakiwa adai katiba mpya?Ni askofu wa dhehebu gani?
Sehemu salama ulizotakiwa kuwepo ni 2 tu;
Yaani wewe ni mtu wa kupuuzwa hadi na mbwa koko!Yan
Yaa
Yaani Taifa zima lipaze sauti kwaajili ya mpuuzi mmoja asiye na hekima?
Morovian uamshoNi askofu wa dhehebu gani?
Hata wewe unatakiwa uwe ndani kwa makala zakoKwa kosa gani? Wapi umeona dalili za kuvunjika amani toka aanze maanadalizi ya maandamano?
Ahaaa. Acha kuwa na akili za kishamba. Zina makosa gani?Hata wewe unatakiwa uwe ndani kwa makala zako
Ruhusu ubongo wako ufanye kazi hata kidogo basi mkuu, ujitazame ujinga unaandikaMwamakula siyo askofu ni mhuni fungeni kabisa. Anatakiwa awajulishe na hao wanaomtuma kuwa serikali iko macho.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hao wote ni wanufaika wa huu mfumo katili mkuuRu
Ruhusu ubongo wako ufanye kazi hata kidogo basi mkuu, ujitazame ujinga unaandika
Askofu wa Wavuta bangi, mashoga na Ma manamba wa mabeberuNi askofu wa dhehebu gani?
Wote tuna akili za kishamba maana tumezaliwa shamba au mwenzetu ni mtoto wa Mkoma maana ndiyo wanaozaliwa mjini, hivyo ni born town siyo washambaAhaaa. Acha kuwa na akili za kishamba. Zina makosa gani?
Wew ni chizi, katiba mpya wew huitaki? Au ndiyo wale mnaosema kuwa kwani hii ina shida ganiUsishirikishe Taifa kwenye ujinga.Mamakula ajitetee mwenyewe tuna matatizo mengi sana hayo ajinasue tu
Mkuu CHADEMA ipi mana huwa unasema imekufa.Uyo sio Askofu wa kanisa ni Askofu wa Chadema....