Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Mbona viongozi wa dini wakishiriki mikutano ya Ccm hamsemi?Uyo sio Askofu wa kanisa ni Askofu wa Chadema.
Maaskofu wa Mungu wapo kwenye madhabahu wanaubiri maneno matakatifu ya Mungu.
Kama ni kupaza sauti mpaze Chadema na sio watanzania wote.