Taifa lipaze sauti kubwa Askofu Mwamakula aachiwe mara moja. Hakuna hatia aliyoifanya

Taifa lipaze sauti kubwa Askofu Mwamakula aachiwe mara moja. Hakuna hatia aliyoifanya

Huyo askofu ameshindwa kabisa kutumia busara. Kwanini anataka kuvunja amani? Ndugu zangu, maaskofu kama hawa hatupaswi kuwaendekeza.
 
Hana hekima kwa kudai katiba mpya? Wenye hekima ni wanaotaka rais aongezewe muda wa kukaa madarakani kinyume na katiba? Hapo Askofu ndio ameshatibua mahesabu yote ya kujiongezea muda wa kukaa madarakani. Mlitamani kusiwepo mtu wa kudai katiba mpya, ili muandae maigizo ya kujifanya mnamshinikiza jiwe aendelee kukaa madarakani,basi ile hoja iliyokuwa imefukiwa ya katiba mpya imefufuliwa tena.
Hofu......
 
Kwa hili, Mambosasa ameonyesha utopolo mkubwa na kutumiwa na mamlaka za juu. Ule msemo "akili za kuambiwa changanya na za kwako" ndiyo mahali pake. Mambosasa hajachanganya akili zake. Sasa WaTZ watamsaidia kuzichanganya. Mwisho wa uzuzu wa uRPC wake utachagizwa na tukio hili.
 
Wanaodai JPM atawale zaidi ya muda uliowekwa na katiba Wana hekima?
 
Kwa hiili, Mambosasa ameonyesha utopolo mkubwa na kutumiwa na mamlaka za juu. Ule msemo "akili za kuambiwa changanya na za kwako" ndiyo mahali pake. Mambosasa hajachanganya akili zake. Sasa WaTZ watamsaidia kuzichanganya. Mwisho wa uzuzu wa uRPC wake utachagizwa na tukio hili.
Utaandamana kumuunga mkono Askofu au ndio ushamaliza maandamano humu kwa keyboard?
 
Unamtetea mtu anayejificha kwenye dini ilihali akifanya siasa chafu? Huyo siyo askofu. Hana tofauti na nabii Tito. Tena afungwe miaka isiyopungua 30 kwa kuhatarisha usalama wa Nchi. Kuna mtu alikjwa nacho uingereza anakifahamu vyema. Mi puppet wa wazungu hana issue afungwe tu.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Polisi mnatafutaa laana kumshikilia mtu wa Mungu bila kosa.
Kudai katiba na maandamano ni haki ya kikatiba.
 
Unamtetea mtu anayejificha kwenye dini ilihali akifanya siasa chafu? Huyo siyo askofu. Hana tofauti na nabii Tito. Tena afungwe miaka isiyopungua 30 kwa kuhatarisha usalama wa Nchi. Kuna mtu alikjwa nacho uingereza anakifahamu vyema. Mi puppet wa wazungu hana issue afungwe tu.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwa nini umechangia huu mjadala?
 
Nani? Mwache akalipie zambi zake. Afunzwe adabu bado wewe
 
Nampapole mama aliyekuleta duniani kama mtoto mwenyewe hizi ndio akili zake
 
Back
Top Bottom