Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Angalia Drc wakati wa Mobutu wa Zabanga. Pamoja na utajiri wake wote ule raia wake waliishi kwa tabu na umasikini mkubwa. Mpaka leo hii imekuwa ni kama laana.
Huko Afrika ya kati mataiafa kama Niger ni aibu kwa Africa yetu.
Leo hii taifa kama Tanzania pamoja na kuwa na rasilimali lukuki. Wananchi wanatozwa tozo pia kodi kibao. Umasikini umetamalaki kama vile kuna laana.
Hospital bila tozo hakuna huduma. Akumbukwe Hayati JPM