Ile ni fani ya Food and Nutrition ambayo inasimamiwa na Wizara ya Afya. Wataalamu ndiyo wamefanya tafiti wakagundua mapungufu hayo. Kama Rais anayewajibika lazima atoe maelekezo kwa wataalamu nini kifanyike. Kwani wewe hujaona biashara ya Alkasus mikoa ya Dar na Tanga? Au michangangiko ya mhogo, Karanga na nazi akina mama wakiuza kwenye makutano ya barabara za Dar?. Musiwe akina Pinga Pinga mtakuwa wapumbavu sasaHushangai watu wanazungumzia mkongo na supu ya pweza....badala ya kutwambia namna gani serikali inakabiliana na mfumuko wa bei
Hapa sijui unataka kuongea ujinga gani wakati chama tawala ni kilekile..CCM. kila mwaka CCM inaendelea kuboreka..hiyo ndio maana yake .kila kiongozi anayeingia anakuwa amejifunza kitu fulani Cha mtangulizi wake..anasonga mbele..anaendelea kuupiga mwingi..Sasa wewe utaharisha weee hujielewi..wajanja tunakuchora tuWatu masokoni wanajaa kununua vyakula, petrol station magari yanaingia na petrol station zinaendelea kujengwa, mabasi ya mikoani yanajaza abiria wanaokwenda na wanao rudi. Kariakoo sasa hivi hakuna matangazo ya "Fremu inapangishwa". Mitaani sijaona mtanzania anakufa kwa njaa. Ujenzi wa Nyumba na magorofa kwa Dar es Salaam unaendelea kila mahali na ukienda Benki unakutana na angalao wateja wanne wako foleni.
Hali ya uchumi ni nzuri sana wakati huu wa Samia kuliko wakati wa DIKTETA
Utanichora sana wakati wanaume tunatoka kukimbizana na fursa kutafuta hela. Pumbavu Mkubwa, unasubiri upate hela kwa kupost utumbo JFHapa sijui unataka kuongea ujinga gani wakati chama tawala ni kilekile..CCM. kila mwaka CCM inaendelea kuboreka..hiyo ndio maana yake .kila kiongozi anayeingia anakuwa amejifunza kitu fulani Cha mtangulizi wake..anasonga mbele..anaendelea kuupiga mwingi..Sasa wewe utaharisha weee hujielewi..wajanja tunakuchora tu
We fursa unaijua wakati bado unakula kulala,. Bado unamtegemea mume mpaka leo..hayawani kweli..mmeshindwa mpk leo Hamna hata Makao makuu, mtaishia kupanga mpaka siku ya kufa kwenu..huku viongozi wenu wakiendelea kupiga mkwanja tu wajameni..mnatia huruma mabinti wafia Ufipa..Utanichora sana wakati wanaume tunatoka kukimbizana na fursa kutafuta hela. Pumbavu Mkubwa, unasubiri upate hela kwa kupost utumbo JF
We unafanya kazi Gani ndio useme hali ya uchumi ni mbaya nyie ndio wachawiRaia wanalia kuwa kwa sasa hali ya kiuchumi ni mbaya. Mzunguko wa pesa ni duni na kila raia anapata magumu ya maisha. Rais hajali na hatusikii dokezo za kiuchumi kusaidia wananchi.
Police brutality? Mbona yupo kimya?
Tozo za kila namna ambazo zinamnyonya raia wa chini. Rais yupo kimya bila hata ya huruma.
Hatua Gani unaongelea? Hatua YA kulimbikiziana tozo kila mahali?Weee jomba kama huna kazi nenda katafute kazi nyingine..mwacheni mama achape kazi..anajitahidi sana kwa kiasi chake..kwanza hatukutegemea kufikia hatua mpk Sasa...Toofautisha mama na baba wajameni
Nchi haiongozwi kwa huruma hata siku moja bali kwa utaratibu, Kanuni na Sheria. Nyie ndo wale awamu ya 5 mlikuwa mnakenua meno mkiitwa 'wanyonge' kwa fikra kwamba mnahurumiwa.Raia wanalia kuwa kwa sasa hali ya kiuchumi ni mbaya. Mzunguko wa pesa ni duni na kila raia anapata magumu ya maisha. Rais hajali na hatusikii dokezo za kiuchumi kusaidia wananchi.
Police brutality? Mbona yupo kimya?
Tozo za kila namna ambazo zinamnyonya raia wa chini. Rais yupo kimya bila hata ya huruma.
Ungekuwa na akili usingeendeleza akili za chuki mpaka leo. JPM kafariki march mwaka jana zaidi ya mwaka na miezi sita wewe bado unaendekeza chuki tu kwa Samia. Bullshit my brother/sister.Huna akili nakujua wewe ni Mbumbumbu
Threads za kijinga ndio sifa ya huyu mkuu, huwa hana jipya zaidi ya kuandika machungu yasiyo msaidia chochote.Nchi haiongozwi kwa huruma hata siku moja bali kwa utaratibu, Kanuni na Sheria. Nyie ndo wale awamu ya 5 mlikuwa mnakenua meno mkiitwa 'wanyonge' kwa fikra kwamba mnahurumiwa.
Wananchi mkiona nchi inaongozwa bila kufuata Sheria na Kanuni, basi huyo Kiongozi mnamtoa kwa nguvu ya sanduku la kura. Mbona ikifika wakati wa uchaguzi mnaanzaga kuwasifia haohao mnaosema hawana huruma? Tusichoshane kwa threads za kijinga JF
What?😬, kama me ndo ningeambiwa hivi aisee ningereact😅😅.Huna akili nakujua wewe ni Mbumbumbu
Thank God umereact😅😅Ungekuwa na akili usingeendeleza akili za chuki mpaka leo. JPM kafariki march mwaka jana zaidi ya mwaka na miezi sita wewe bado unaendekeza chuki tu kwa Samia. Bullshit my brother/sister.