Taifa lolote makini lazima liwe mikononi mwa vijana.Vijana makini watalinda mali za umma.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
vijana hawa wa mihemko, ghadhabu kutukana na kuporomosha matusi?πŸ’

halafu hiyo kazi watamuachia nani hali ya kua wameshafikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala, na wamebaki kuhemka, kutukana na kuporomosha matusi?πŸ’

au unatamani washike hatamu za kulinda matusi na mihemko yao?
 
Maarekani haliko makini sio? Tanzania ina raisi mdogo tu mbona 64, bado mbichi kabisa. Au unataka awe na 37
 
Vijana wa tz yanga ikishinda wanamshukuru samia kisha wanaenda kujipongeza bar
 
Vijana wa tz yanga ikishinda wanamshukuru samia kisha wanaenda kujipongeza bar
ni uzalendo huo lakini,

we must all learn, how to love our national leaders as a country,

na hayo mengine ni kibinafsi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…