Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
- Thread starter
-
- #41
Fuatilia kumbukumbu, nilikuwa najibu hoja kwa hoja.Ni kweli tindo huyu mtoa mada chagu wa malunde alikuwa ni CHAWA mkubwa wa Mwendazake, tena anaweza kukesha na wewe akikubishia na kukujibu kwa ajili ya yule Bwana. Leo amebadilika kiajabu sana
Pole mkuu,taifa lipo chini ya mashetani,yanabadilika rangi na jinsia tuEheee Mungu tuokoe sisi watu wako tunaangamia kwa kukosa maarifa
Ninadai milioni 3 Nssf sijalipwa huku kuna mamilioni ya zawadi Mungu uko wapi utuokoe kwani hapa si nyumbani kwetu jamani au ni kwa Jirani tumekua watoto Wa kambo kila miaka. Eheeee Mungu pindua huu udhalimu
... unapoona the ruling class are fighting to remain in power sio mchezo Chief; wanajua wanachopata. Kwa maposho hayo nani atakubali kukabidhi madaraka kwa vikaratasi? Mtapigwa risasi wote muhimu chama kiendelee kutawala! Mbinu zote halali na haramu zitatumika kulinda madaraka.Kwa ukweli watz tumefanywa wote ni wajinga.haingii akilini kabisa kea watu wanaogharimiwa na serikali kila kitu bado wanapewa mahekalu mbona watumishi hawaongezewi mishahara?pesa za kujengeana majumba zipo za nyongeza za mishahara hakuna,madarasa hakuna,madawa hakuna,barabara hazijakamilika,watumishi hawatoshi,nk lkn bado fedha zetu zinafujwa ni hatari Sana katiba ni muhimu sana.