Taifa Star kufungwa, tatizo ni uwezo mdogo wa kocha?

Taifa Star kufungwa, tatizo ni uwezo mdogo wa kocha?

mtahengerwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2011
Posts
384
Reaction score
173
Mimi siku zote huwa nasema makocha wazalendo wa kitanzania uwezo wao huwa mdogo lakini huwa wanataka kulazimishia mambo makubwa matokeo yake ndo 7-0

Tanzania kama tungekuwa tumepiga hatua kisoka tungeona mchango wa hawa makocha wazalendo lakini kwa hali hii ni sawa kumchukua mwalimu aliyefail mtihani akafundishe wanafunzi halafu mtegemee wanafunzi hao kufaulu.

Sasa Tanzania tunahitaji kocha wa kigeni mwenye rekodi nzuri ya ufundishaji na mwenye kukizi viwango vya kimataifa.
 
Hapa Dar tulikuwa na uwezo wa kuwapiga Algeria hata goli saba lakini Ukosefu wa umakini wa Wachezaji matokeo yake tukakosa migoli ya Wazi
 
Mimi siku zote huwa nasema makocha wazalendo wa kitanzania uweze wao huwa mdogo lakini huwa wanataka kulazimishia mambo makubwa matokeo yake ndo 7-0

Tanzania kama tungekuwa tumepiga hatua kisoka tungeona mchango wa hawa makocha wazalendo lakini kwa hali hii ni sawa kumchukua mwalimu aliyefail mtihani akafundishe wanafunzi halafu mtegemee wanafunzi hao kufaulu.

Sasa Tanzania tunahitaji kocha wa kigeni mwenye rekodi nzuri ya ufundishaji na mwenye kukizi viwango vya kimataifa.

Taifa star kufungwa tatizo ni uwezo mdogo wa kocha wa timu ya taifa au kocha?
hata washabiki wana uwezo mdogo
 
Juzi niliposikia wameshinda 2, kwakua mm sio mwanamichezo nikauliza marudio yatakuwepo? Nikjibiwa ndio basi nikasema wasubiri kufungwa 6 kumbe limeongezeka moja?
 
Jamani Bongo kwa Mpira wachezaji wengi hawajitumi sawa sawa, hata kama ungeleta kocha wa Barcelona ni kupoteza mali za Taifa bure. Kikwete aliwekeza bajeti kubwa kwa timu hii na kuipa exposure za kutosha ikiwa ni pamoja na kuleta makocha kibao lakini wapi? Nashauri watanzania tuwekeze nguvu hata katika sekita ya Afya walau iboreshwe kuliko kupoteza mamilioni ya pesa kwenye Mpira.
 
Ni Ujinga kujikakamua Kuwa Taifa stars Ingemtoa Algeria
 
We hujui mpira angalia mechi taifa stars imecheza under mkwasa undo ujue uwezo Wa timu sio kuropoka
 
jaman mpira unachezwa hadharan 2ache kusingzia kocha na wachezaji tatizo la soka la tanzania ni uleule ubabaishaji uliopo kila sekta kuna waziri alifuta michezo mashuleni sasa jiulize hao wachezaji watajifunzia wapi kujenga ari ya ushndani na ushndi?? mi pia sikubaliani na mkakati wa jk kuleta makocha wa kigeni alitakiwa aanzishe vituo vya michezo angalau 3 kila wilaya vitakavyokusanya vipaji wilayani na kuvilea vikiwa bado vichanga lakn kuleta makocha wa kigeni au kumlaum kocha ama wachezaj ni kuwaonea tu
 
Jamani Bongo kwa Mpira wachezaji wengi hawajitumi sawa sawa, hata kama ungeleta kocha wa Barcelona ni kupoteza mali za Taifa bure. Kikwete aliwekeza bajeti kubwa kwa timu hii na kuipa exposure za kutosha ikiwa ni pamoja na kuleta makocha kibao lakini wapi? Nashauri watanzania tuwekeze nguvu hata katika sekita ya Afya walau iboreshwe kuliko kupoteza mamilioni ya pesa kwenye Mpira.

Watanzania wengi ni washamba japo wanajifanya muchknow,wengi walegevu japo wanajifanya wakakamavu,wengi wavivu kuanzia akili mpaka mwili.Kila jambo Watanzania nı kulalama tu hata hawajishughulıshı.Watu wanakaa vijiweni wanapga umbea na siasa!Kiufupi Watanzania hakuna eneo hata moja mnaweza ku-excel kwa tabia hz na sio tu mpira!Yani km Magufuli anaweza,aweke baadhi ya sheria pembeni ili hawa watu waswagwe kufanya kazı na waache mambo ya kipumbavu kwa nguvu.
 
Juzi niliposikia wameshinda 2, kwakua mm sio mwanamichezo nikauliza marudio yatakuwepo? Nikjibiwa ndio basi nikasema wasubiri kufungwa 6 kumbe limeongezeka moja?

Jamani Tanzania sisi tuna akili za panzi, anzia viongozi wetu mpaka raia yule mdogo kabisa! Sasa na wewe kama siyo akili ya panzi hii ni kitu gani? Nani alikwambia kwamba tulishinda kwa magoli mawili? Mechi iliisha 2-2 magoli ya Algeria yakiwa ya kizembe kabisa, wachezaji wetu wana ubongo wa panzi, mpira hawawezi wabaki kugegeda tu ndo fani wanayoweza! Wacha tupigwe 7-0 ni size yetu!!
 
Hivi haya matokeo hayawezi kufutwa kama Matokeo ya ZEC!!( Just a Joke)
 
Sio kweli wachezaji wanakosa magoli ya wazi....kocha Hana uwezo??? mchezaji anapiga kwanja.. In 18...kocha pia???
 
Timu za Taifa za Tanzania na Kenya zimetolewa kwenye hatua ya kufuzu kombe la dunia nchini Urusi-2018 kwa kufungwa ugenini kwenye mechi za marudiano. Taifa Stars ya Tanzania iliingia uwanjani jana dhidi ya Algeria wakiwa na akiba ya sare ya 2-2 kwenye mechi ya awali.

Taifa Stars ilizabwa mabao 7-0 katika mechi ya jana na kutupwa nje kwa jumla ya mabao 9-2. Kati ya sababu zilizowapoteza Taifa Stars ni kuimarika kwa kikosi cha Algeria,kwa kuwepo kwa Yacine Brahimi wa Porto ya Ureno,pamoja na kucheza pungufu baada ya Mudathir Yahya kulimwa kadi nyekundu. Pungufu kwa Algeria!? Algeria pia walipewa penati mbili nyepesi sana-za kupendelewa.

Kwa upande wa jirani zetu Harambee Stars ya Kenya,waliingia uwanjani kurudiana na Cape Verde wakiwa wameshinda bao 1-0 nyumbani. Jana walitandikwa mabao 2-0 na kusukumwa nje kwa jumla ya mabao 2-1. Harambee Stars imeponzwa na kucheza kwa kujihami na kutokuwa na msaidizi wa kueleweka wa Victor Wanyama kwenye kiungo. Cape Verde walicheza kwa nguvu kubwa.

Hayo yameisha, tugange yajayo
 
Tatzo sio kocha tatzo ni wachezaji na viongozi. Michezaji inaingia uwanjan iko mbendembende, kuanzia beki,viungo,washambuliaji wote wanamtegemea mbwana samata peke yake.

Tatzo viongoz wanaendekeza siasa sana kwenye michezo. Wanakalili kuwa wachezaji wanatoka simba na yanga tu baas.

Mchezaji kama nadir haroub na yondan wale ni wazee hawawezi kuendana na kasi ya mchezaji wa miaka 20.

Hata maximo walianza kumuwekea mizengwe kisa tu kawaacha wachezaji kutoka simba na yanga
 
Back
Top Bottom