MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 702
Aliyepigwa 3 kaboa, angeendelea tungepigwa si chini ya 10 kama shelishelikipa gani kakuboa? aliyefungwa 3 au 4???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyepigwa 3 kaboa, angeendelea tungepigwa si chini ya 10 kama shelishelikipa gani kakuboa? aliyefungwa 3 au 4???
Hapa Dar tulikuwa na uwezo wa kuwapiga Algeria hata goli saba lakini Ukosefu wa umakini wa Wachezaji matokeo yake tukakosa migoli ya Wazi
Mpira ni tactics, mbona hushangai ronaldo kujiangisha angusha au barca, kama wao walijiangusha wakashinda kwanini na sisi tusingejiangusha tushinde???
Michezaji mikubwa lkn mijinga kuanguka ovyo ovyo utadhani inapata dege degeee, mfyuuuh Aibuuu. Nashangaa eti hiyo hiyo kila mwaka ndo inaliwakilisha bara la africa kombe la dunia, Aibuuuuu
Nionavyo:Mkwasa hastahili lawama wachezaji wa stars uwezo wao ni mdogo mno! ?
Jamani Bongo kwa Mpira wachezaji wengi hawajitumi sawa sawa, hata kama ungeleta kocha wa Barcelona ni kupoteza mali za Taifa bure. Kikwete aliwekeza bajeti kubwa kwa timu hii na kuipa exposure za kutosha ikiwa ni pamoja na kuleta makocha kibao lakini wapi? Nashauri watanzania tuwekeze nguvu hata katika sekita ya Afya walau iboreshwe kuliko kupoteza mamilioni ya pesa kwenye Mpira.
Mimi siku zote huwa nasema makocha wazalendo wa kitanzania uwezo wao huwa mdogo lakini huwa wanataka kulazimishia mambo makubwa matokeo yake ndo 7-0
Tanzania kama tungekuwa tumepiga hatua kisoka tungeona mchango wa hawa makocha wazalendo lakini kwa hali hii ni sawa kumchukua mwalimu aliyefail mtihani akafundishe wanafunzi halafu mtegemee wanafunzi hao kufaulu.
Sasa Tanzania tunahitaji kocha wa kigeni mwenye rekodi nzuri ya ufundishaji na mwenye kukizi viwango vya kimataifa.
we ni mtanzania mwenzangu, sote tunaumia kwa kichapo!! ila tusijipe moyo mahali pasipo faa, we unaona aibu kuanguka wenzio ndio washasonga mbele!!Michezaji mikubwa lkn mijinga kuanguka ovyo ovyo utadhani inapata dege degeee, mfyuuuh Aibuuu. Nashangaa eti hiyo hiyo kila mwaka ndo inaliwakilisha bara la africa kombe la dunia, Aibuuuuu