Nimezungumzia kimpira Wala si uchawi ingawa naipenda Taifa starsWrite your reply...Acha uchawi kaka.
Kama Taifa stars itashinda nitafurahi ila hapa nimezungumzia kimpira Wala sio uchawi au mapenzi yangu kwa timu ya Taifa.Wazee wa tunguli mmeanza na kamati zenu uchwara
Mkuu mbona ushindi upoLeo naona kabisa Taifa stars atashindwa kwenya hatua ya makundi na kwasababu wanaweza kubweteka kutokana na matokeo ya away hapa ndo kutaanzia tatizo lakini pia Burundi individual wanauwezo mkubwa kuliko wachezaji wetu.Japo naipenda timu yangu ya Taifa ila naona kabisa tunaanguka lakini pia Nina wasiwawasi na lineup itakayokuwa Leo lakini Kama wachezaji hawatabweteka na kujituma Sana na pia lineup ya Leo itakuwa nzuri tutatoboa tofauti na hapo tujiandae kisaikologia.
Anacheza namba ngapi Leo?Taifa stars itashinda
Hatuwezi kumwaibisha Rais nyumbani
Kwahiyo CCM ndo wanafanya timu ifungwe?Siku CCM itakapoondoka madarakani,ndio siku nitakayokuwa shabiki galagala wa hii timu lakini kwa sasa nasema..........MUNGU IBARIKI BURUNDI.