financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hahahaaa, wameanza figisu kwenye ushindi wetu, watuache nao wangeweka hilo jitu kwenye goli lao, yaani wanakosa penati zoote[emoji3]Nasikia Shirikisho la mpira la Burundi linakusanya ushahidi ili kumshtaki Kaseja CAF! Eti wale wachezaji waliokosa penati wamelalamikia kwa viongozi wao kuliona "Jitu kubwa la kutisha golini" badala ya golikipa Kaseja!