Taifa stars anapoteza Leo

Taifa stars anapoteza Leo

Nasikia Shirikisho la mpira la Burundi linakusanya ushahidi ili kumshtaki Kaseja CAF! Eti wale wachezaji waliokosa penati wamelalamikia kwa viongozi wao kuliona "Jitu kubwa la kutisha golini" badala ya golikipa Kaseja!
Hahahaaa, wameanza figisu kwenye ushindi wetu, watuache nao wangeweka hilo jitu kwenye goli lao, yaani wanakosa penati zoote[emoji3]
 
innocent dependent uko wapi? Mimi niko mbali na Vyombo vya Habari Ndugu. Kama utakuwa na matokeo ya Mechi yetu ya leo kati ya Tanzania ( Taifa Stars ) na Burundi ( Intamba Murugamba ) naomba unipe tafadhali. Natanguliza Shukran Kwako na nimeona katika Members wote hapa JamiiForums nikuulize Wewe kwakuwa ndiyo unaujua Mpira na ni Mtu ambaye hata Ukitabiri Matokeo ya Mechi huwa yanakuwa ya kweli na hivyo hivyo.
 
Leo naona kabisa Taifa stars atashindwa kwenya hatua ya makundi na kwasababu wanaweza kubweteka kutokana na matokeo ya away hapa ndo kutaanzia tatizo lakini pia Burundi individual wanauwezo mkubwa kuliko wachezaji wetu.Japo naipenda timu yangu ya Taifa ila naona kabisa tunaanguka lakini pia Nina wasiwawasi na lineup itakayokuwa Leo lakini Kama wachezaji hawatabweteka na kujituma Sana na pia lineup ya Leo itakuwa nzuri tutatoboa tofauti na hapo tujiandae kisaikologia.
We mrundi kesho uondoke na warundi wenzio
 
Uko sahihi! Kuna utofauti mkubwa sana kati ya yule good for nothing Amunike na huyu Ndairagije! Huyu walau ni msikivu na mfano mzuri ni kumuacha nje Haruna Shamte kwenye mchezo wa leo na hivyo kumuanzisha mzoefu Kessy.

Leo hata kama timu ingetolewa, bado nisingewalaumu. Wachezaji wamejituma, walikuwa wanashambulia, nk.
Naam, huyu kocha apewe mikoba ya taifa tu atatufikisha mahali pazuri maana uwezo wake tumeuona kwa miaka kadhaa
 
Leo naona kabisa Taifa stars atashindwa kwenya hatua ya makundi na kwasababu wanaweza kubweteka kutokana na matokeo ya away hapa ndo kutaanzia tatizo lakini pia Burundi individual wanauwezo mkubwa kuliko wachezaji wetu.Japo naipenda timu yangu ya Taifa ila naona kabisa tunaanguka lakini pia Nina wasiwawasi na lineup itakayokuwa Leo lakini Kama wachezaji hawatabweteka na kujituma Sana na pia lineup ya Leo itakuwa nzuri tutatoboa tofauti na hapo tujiandae kisaikologia.
Kama nakuona macho yalivyokutoka
 
Back
Top Bottom