Leo naona kabisa Taifa stars atashindwa kwenya hatua ya makundi na kwasababu wanaweza kubweteka kutokana na matokeo ya away hapa ndo kutaanzia tatizo lakini pia Burundi individual wanauwezo mkubwa kuliko wachezaji wetu.Japo naipenda timu yangu ya Taifa ila naona kabisa tunaanguka lakini pia Nina wasiwawasi na lineup itakayokuwa Leo lakini Kama wachezaji hawatabweteka na kujituma Sana na pia lineup ya Leo itakuwa nzuri tutatoboa tofauti na hapo tujiandae kisaikologia.