financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hahahaaa, wameanza figisu kwenye ushindi wetu, watuache nao wangeweka hilo jitu kwenye goli lao, yaani wanakosa penati zoote[emoji3]Nasikia Shirikisho la mpira la Burundi linakusanya ushahidi ili kumshtaki Kaseja CAF! Eti wale wachezaji waliokosa penati wamelalamikia kwa viongozi wao kuliona "Jitu kubwa la kutisha golini" badala ya golikipa Kaseja!
We mrundi kesho uondoke na warundi wenzioLeo naona kabisa Taifa stars atashindwa kwenya hatua ya makundi na kwasababu wanaweza kubweteka kutokana na matokeo ya away hapa ndo kutaanzia tatizo lakini pia Burundi individual wanauwezo mkubwa kuliko wachezaji wetu.Japo naipenda timu yangu ya Taifa ila naona kabisa tunaanguka lakini pia Nina wasiwawasi na lineup itakayokuwa Leo lakini Kama wachezaji hawatabweteka na kujituma Sana na pia lineup ya Leo itakuwa nzuri tutatoboa tofauti na hapo tujiandae kisaikologia.
Naam, huyu kocha apewe mikoba ya taifa tu atatufikisha mahali pazuri maana uwezo wake tumeuona kwa miaka kadhaaUko sahihi! Kuna utofauti mkubwa sana kati ya yule good for nothing Amunike na huyu Ndairagije! Huyu walau ni msikivu na mfano mzuri ni kumuacha nje Haruna Shamte kwenye mchezo wa leo na hivyo kumuanzisha mzoefu Kessy.
Leo hata kama timu ingetolewa, bado nisingewalaumu. Wachezaji wamejituma, walikuwa wanashambulia, nk.
Nado kumuweka benchi Farid napinga..Huyu kocha hana jipyaNaam, huyu kocha apewe mikoba ya taifa tu atatufikisha mahali pazuri maana uwezo wake tumeuona kwa miaka kadhaa
Kama nakuona macho yalivyokutokaLeo naona kabisa Taifa stars atashindwa kwenya hatua ya makundi na kwasababu wanaweza kubweteka kutokana na matokeo ya away hapa ndo kutaanzia tatizo lakini pia Burundi individual wanauwezo mkubwa kuliko wachezaji wetu.Japo naipenda timu yangu ya Taifa ila naona kabisa tunaanguka lakini pia Nina wasiwawasi na lineup itakayokuwa Leo lakini Kama wachezaji hawatabweteka na kujituma Sana na pia lineup ya Leo itakuwa nzuri tutatoboa tofauti na hapo tujiandae kisaikologia.
🤣Unajisikiaje Sasa!?
[/QUOTE