Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Katika kundi linalojumuisha Tanzania, Algeria, Jordan na Austria nina uhakika pasipo na shaka Tanzania angepata nafasi moja kati ya tatu kumwezesha kufuzu.
Tanzania vs Algeria. Hawa tunawajua na tushacheza nao mara kadhaa. Kwa sasa Algeria wameshuka kiwango sio wa kipindi kile ambacho walichukua afcon. Kama tuliweza kuwamudu Nigeria na Morocco wakatufunga kwa mbinde sana afcon ya mwisho nina uhakika tusingeshindwa kupata sare kwa Algeria. Mechi ingeisha 0-0.
Tanzania vs Jordan. Naliona goli la set piece linafungwa na Ibrahim Barca hapa, na Tanzania anafanikiwa kushikilia bomba. Mechi inaisha kwa ushindi wa goli 1-0.
Tanzania vs Asutria. Kutokana na ugeni wa kucheza na timu za ulaya. Sioni namna ambayo Tanzania anaweza kupata hata sare hii game. Mechi inaisha kwa kichapo cha goli 2-0.
Msimamo wa kundi.
1. Austria 7
2. Algeria 5
3. Tanzania 4
4. Jordan 0.
Hatua ya 32
Tanzania vs Switzerland. Moinzani wetu hapa ana ubora wa wachezaji wa daraja la juu vile vile na ugeni wetu wa kucheza na timu za ulaya. Naiona Tanzania ikihaga mashindano kwa kichapo cha goli 3-0