Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini mbinu za Baresi yule wa mashujaa na Ahmad Ally japo ni kijana. Hata mgujda sio mbaya sana lakini Morocco na Mkwasa hapana.Aliyeeita hiyo timu kichwa cha mwendawazimu alikuwa sahihi. Maana hakuna timu pale.
Kocha mwenyewe wa timu ya Taifa uwezo wake ni wa kufundisha timu za Namungo, Coastal Union, Mlandege, nk! Halafu ndiyo tutegemee maajabu!!
Nilitaka kusema hivyo hata mm ila niliogopa mapovu. Pale Yanga hata denis Nkane anaweza kujisaidia taifa hiliWachezaji wote wa Yanga wanahitajika sana katika timu ya Taifa ili iweze kufika mbali
Mapovu ruksa na hayabadilishi ukweli