TAIFA STARS: IBRAHIM AJIBU NDANI! ABUBAKAR SALUM NDANI! JONAS MKUDE NDANI MATOKEO 0-0 NYUMBANI

TAIFA STARS: IBRAHIM AJIBU NDANI! ABUBAKAR SALUM NDANI! JONAS MKUDE NDANI MATOKEO 0-0 NYUMBANI

Kwa mpira tuliocheza leo tumeonesha tuna timu yaani ilikuwa raha kuangalia kila mchezaji anapopata mpira kiongo tulikikamata kisawasawa hichi ndicho tulichokuwa tunataka timu icheze mpira sio kwenda kurukaruka mpaka mpira unaisha.
Kenya walikuja na plan ya kuzuia naamini kwa mpira huu tuliocheza wakenya wakifunguka kule kwao tutawafunga.
Umeona mpira kwa vile timu uliyokutana nayo imekupa Uhuru.Mngecheza na Senegal au Algeria mngepoteana Tena tungekula hamsa
 
Etienne Apewe Team Mazima
Team Imecheza Vizuri Ila Tatizo La Finishing Pale Mbele Ni Shida.
Na Viungo Wa Kupeleka Team Mbele Wao Wanapiga Back Pass. Ajibu Alivyoingia Ndo Akawa Anajaribu Kusogeza Team Mbele Yaan Hakuna Kugeuka Nyuma. Safi!
Big Up Kwa Beki Nyuma Wamejitahidi. Hasa Kale Kajamaa Cha Kulia Sijui Paul Nanii!
Nimesema Tu Me Sio Mzalendo
Hata mfanyeje CHAN hamfuzu ng'ooo
 
Haya wale wa kulaumu na kuhamisha goli.... Leo tuhamishie lawama kwa nani?
Mje!
Nani hakuwepo leo?
Yaani Kenya walikuwa wanacheza mpira kwa malengo huku wakiwa wamegawa muda wa muda wa kushambulia,ila Sisi wachezaji wetu na sisi waTz tulikuwa tunashangilia tobo na kanzu za kina dilunga ambazo kwa wenye akili na kocha wa Kenya alikuwa anacheka tu
 
Bahati haikuwa upande wetu ila mpira vijana walicheza vizuri
 
Umeona mpira kwa vile timu uliyokutana nayo imekupa Uhuru.Mngecheza na Senegal au Algeria mngepoteana Tena tungekula hamsa
Hao Kenya situlicheza nao kule Misri wakatupoteza unadhani kwa mpira tuliocheza leo tungecheza kule Misri wangetufunga hawa.
 
finishing iliokuwa chini ya bocco ilikuwa na shida kubwa.
viungo wanapiga bacc pass hasa diluoga.
beki imetulia vizuri. labda kwa kuwa kenya hawakutaka kushambulia sana.
nashauri yule aiyee angeanza kati bocco aende pembeni ili awe anaforce kupitisha mipira kati kwa aiyee.
ni ajibu pekee alikuwa ana vision ya mbele tofauti na viungo wengine wao ni backpass!
yule paul godfrey ameonyesha ukomavu mkubwa big up
mwisho TUNA TATIZO LA FINISHING NAMBA 9
Na Yule Mtoto Mtoto Nado Nae Kafanya Kazi Ya Kiume
 
Etienne Apewe Team Mazima
Team Imecheza Vizuri Ila Tatizo La Finishing Pale Mbele Ni Shida.
Na Viungo Wa Kupeleka Team Mbele Wao Wanapiga Back Pass. Ajibu Alivyoingia Ndo Akawa Anajaribu Kusogeza Team Mbele Yaan Hakuna Kugeuka Nyuma. Safi!
Big Up Kwa Beki Nyuma Wamejitahidi. Hasa Kale Kajamaa Cha Kulia Sijui Paul Nanii!

Nimesema Tu Me Sio Mzalendo
Yule ndio Paul Boxer .kiboko ya Okwi..Kapombe astaafishwa rasmi
 
Back
Top Bottom