Taifa Stars ikisheheni nyota wa Yanga yaibamiza Somalia

Taifa Stars ikisheheni nyota wa Yanga yaibamiza Somalia

Daah mnalazimisha sana kupata attention
dadavua please, kwani kuna ubaya gani kuchambua mechi kwa umakini kama nilivyofanya?

attention ya kitu gani?
 
Baada ya kutengeneza nafasi nyingi za kufunga, ikafunga magoli mangapi?
ilionekana wazi Kibu Denis hakuwa mchezoni na nafasi nyingi zilizotengenezwa ziliharibikia miguuni pake, kwani we ulionaje boli?
 
Tujikumbushe na hili
JamiiForums-912427097_480x360.jpg
 
dadavua please, kwani kuna ubaya gani kuchambua mechi kwa umakini kama nilivyofanya?

attention ya kitu gani?
Hivi unajua somalia huwa tunawafunha kuanzia 5+? Somalia imechukua wachezaji kariakoo au uliona timu ikiwasili?
 
Jana nilitazama kiwango cha Taifa Stars ikicheza na Somalia nikafurahi jinsi timu ilicheza kwa balance ya hali ya juu huku ikitengeneza nafasi nyingi za kufunga, Sureboy, Farid na Feisal wakiharakisha mashambulizi mwanzo mwisho ukuta wa Mwamnyeto, Job, Kibwana na Msheri ukiwazuia Somalia kwa akili kubwa na kitaalamu zaidi nikashangaa imekuwaje tena huwa hatuchezi hivi baadae nikaona wazi kumbe Nabi alikuwa kwenye psychology ya wachezaji wa Yanga aliowafundisha kutulia na kucheza mpira.

Kuna muda niliona wachezaji wa Simba kutokuwa makini na wakipoteza sana mipira na kucheza kwa papara zisizo hitajika! Tshabalala hakuwa mchezoni na alibabaika mara nyingi na kugawa mipira kwa wapinzani wetu Somalia! Mzamiru alitoa pasi nyingi zisizo na macho na zikapotea na ilionekana kama vile Manula mechi ilimshinda kwa kutokuwa makini langoni akaomba kutolewa japo Kibu Denis nae alijitahidi kuruka ruka tu bila maajabu yoyote.

Pengo kubwa la wazi lilikuwa la Zawadi Mauya ambae nafasi yake ilichezwa na Mzamiru ambae alizembea sana na kupoozesha mashambulizi ambayo kila mara Dickson Job aliyaanzisha! Alikuwa slow sana.

Jana nilihesabu wachezaji nikaona Yanga tulitoa karibu Robo tatu ya timu ya Taifa na ikatawala mchezo na kushinda vizuri tu, jee hii imekaaje? hii ina maana gani kwa mustakabali wa national team? Je Nabi na Eng Hersi waongezwe benchi la ufundi?

Huu msemo umejidhihirisha ni wa ukweli " Asikwambie mtu Yanga tamu" usipoila utainywa usipoinywa utaioga! ukiziba masikio utaiona kwa macho , ukifumba macho utaisikia tu mirindimo na fataki zake zikirushwa nchi nzima kutokea Sheikh Amri Abeid stadium!!
huuu ujinga ulisha katazwa ila vilaza wachache bado mnavichwa vigumu, iliyo kuwa inacheza ni taifa stars na simba wa yanga.
 
Uyanga na usimba umefika mbali sana hasa kwa mashabiki maandazi kama wewe.

Pale hawakucheza yanga wala simba ni taifa stars. Ndo maana yule mfungwa alisema wenye akili ji wawili tu pale utopoloni.
muombe Mungu akufungue ujue tofauti ya intelligence, truth, logic, motives and bias. ukielewa wafundishe na wanao, kuna koti la ujinga umelivaa livue kama vipi.

Tunaanza tena kampeni ya unbeaten record kwa kuwapasua ngao ya jamii unasemaje ? do you have the muscles?

Mwaka huu ligi mpya tunabeba makombe na tuzo zote Makolo fc aka Mikia mtalazwa hospital ICU kabisa maana hasira zenu kupokwa makombe na kupasuliwa CCM Kirumba na kukosa pesa za usajili wa kiwango cha Yanga zimefanya Kolo FC wote muwe mataahira tena mko wakali kama chui mnatukana ovyo kila mtu na kwa kila jambo hata yale ambayo hamjayaelewa!!

Tukutane tena Mkapa mpate kuangusha tena machozi!! Yanga tamu asikwambie mtu!
 
muombe Mungu akufungue ujue tofauti ya intelligence, truth, logic, motives and bias. ukielewa wafundishe na wanao, kuna koti la ujinga umelivaa livue kama vipi.

Tunaanza tena kampeni ya unbeaten record kwa kuwapasua ngao ya jamii unasemaje ? do you have the muscles?

Mwaka huu ligi mpya mtalazwa hospital ICU kabisa maana hasira zenu kupokwa makombe na kupasuliwa CCM Kirumba na kukosa pesa za usajili wa kiwango cha Yanga zimefanya Kolo FC wote muwe mataahira tena mko wakali kama chui mnatukana ovyo kila mtu na kwa kila jambo hata yale ambayo hamjayaelewa!!

Tukutane tena Mkapa mpate kuangusha tena machozi!! Yanga tamu asikwambie mtu!
Ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom