rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Timu hamna kila kitu Ile ,defence ya hovyo sijawah ona , backbass za hovyo na watu wanabutua butua Tu mipira hovyo hovyo..... , nilishangaa mpira upo gorini kwetu mabeki wote wanauruka mpira ,alaf striker za Namibia na wao kimeo et anapiga nje , huu ni ushindi wa Mungu tuu Kwa kweli..... Mtu anatoa passi hatanui anabaki ameganda tuu, winga akipewa mpira haangalii wenzake anaangalia chini af anaanza relay kama nyumbu wa kiangazi ... Kingine wanacheza rafu za kindezi Sana ....kidog Manula na midfielder flan sjui nan Yule ,but the entire team ni hovyooooHuu ndio ukweli unaofichwa, shukrani zimwendee Mwenyezi Mungu pekee, baada ya Stars kufunga goli, dk zote zilizosalia tumepumulia mashine, kuna wakati nimeshangaa wachezaji wa Namibia kukosa magoli ya namna ile mbele ya difensi yetu mdebwedo kiasi cha kushangaza na kuleta maswali ya kutaka kujua walikookotwa mabeki wetu.
Timu haijui kujilinda wala kukaba kiasi kama tukikutana na timu yenye kasi tutapigwa kontena la magoli .
Sijivunii ushindi tulioupata maana ni ushindi wa Bahatisha Ndulute.
Kama mwamuzi angekuwa makini kwa rafu za kiboya tulizokuwa tunacheza kulikuwa na red card 2Timu hamna kila kitu Ile ,defence ya hovyo sijawah ona , backbass za hovyo na watu wanabutua butua Tu mipira hovyo hovyo..... , nilishangaa mpira upo gorini kwetu mabeki wote wanauruka mpira ,alaf striker za Namibia na wao kimeo et anapiga nje , huu ni ushindi wa Mungu tuu Kwa kweli..... Mtu anatoa passi hatanui anabaki ameganda tuu, winga akipewa mpira haangalii wenzake anaangalia chini af anaanza relay kama nyumbu wa kiangazi ... Kingine wanacheza rafu za kindezi Sana ....kidog Manula na midfielder flan sjui nan Yule ,but the entire team ni hovyoooo
Kabisa braza yaani selection yake ya kuwa kocha wa timu ya taifa haikuwa chaguo sahihi.Yeye na mwajiri wake walimgwaya yule mzee mjuaji wa kila kitu. Binafsi siwezi kuwalaumu, ingawa ni ukweli ulio wazi! Ndairagije uwezo wake ni wa kufundisha tu vilabu.
Kupewa timu ya Taifa, tena kubwa kwa Ukanda huu wa Afrika Mashariki la Tanzania, huku yeye mwenyewe akitokea ka nchi kadogo kama Burundi, hakika ni dharau kubwa kwa Makocha Wazawa. Hawana budi kujitafakari na kuona ni kwa namna gani hawaaminiwi na TFF.
Ile ya kaseke ni direct red card wala haina ubishi...pale mwanadada wa ethiopia katubeba...alafu kadada kanaonekana katamu kaleKama mwamuzi angekuwa makini kwa rafu za kiboya tulizokuwa tunacheza kulikuwa na red card 2
Hata wakati mwingine Saambovu husema kweli.Tukifungwa: Kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunza kunyoa.
Tukishinda: 1. Tumebahatisha wala timu haikucheza vizuri
2. Wametuachia tu kwakuwa wao hawakuwa na pressure na hii match (Eg. TZ vs Ug)
Sijawahi kuwaelewa waTanzania wenzangu.
Japo nakubali timu bado sio nzuri. Ila sijawahi kuona hata siku moja tukaikubali timu hata kama siku hiyo tumeshinda au tumefungwa.
Mimi nitaangalia maana ishinde isihinde,poa tu.Hatari mno !
Kwenye muktadha wa Soka kanchi kadogo' Kama Burundi unamaanisha Nini!Yeye na mwajiri wake walimgwaya yule mzee mjuaji wa kila kitu. Binafsi siwezi kuwalaumu, ingawa ni ukweli ulio wazi! Ndairagije uwezo wake ni wa kufundisha tu vilabu.
Kupewa timu ya Taifa, tena kubwa kwa Ukanda huu wa Afrika Mashariki la Tanzania, huku yeye mwenyewe akitokea ka nchi kadogo kama Burundi, hakika ni dharau kubwa kwa Makocha Wazawa. Hawana budi kujitafakari na kuona ni kwa namna gani hawaaminiwi na TFF.