Taifa stars inaweza chukua AFCON 2019

Labda tubebe afcon ya kuchorwa.Hata goli 2 hatutafunga
Tutarudi Kama tulivyoenda
 
Mbona unakua mtu wa mashaka hivo.. ? Kila timu ina haki ya kuchukua kombe
Labda tubebe afcon ya kuchorwa.Hata goli 2 hatutafunga
Tutarudi Kama tulivyoenda
 
Wakuendekeza ushamba kweli watakua mboga hata ya kenya
Umenichekesha hapo kwenye mboga ya kila mtu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
wakuu habar za muda huu,sote tunafahamu chama la wana taifa star imeshaelekea huko misri,na Leo wanacheza mechi ya kirafiki na taifa hilo,je kwenye kundi letu timu yetu ni underdog au tujipe moyo kama wanasimba walivyojipa moyo kwa upande wa kundi lake
 
Taifa stars kuifunga algeria au senegal inawezekana kabisa maana kushinda mechi sometime bahati inahusika lakini kuchukua kombe ni ngumu. Huwezi kuvuka kwa mechi za mtoano tatu kwa bahati, ili uvuke inakuhitaji uwezo ushabiiane na wa viwango vya juu. Ni kama vile tu world cup, uefa hata CAF haichukuliwi na vilaza.
 
Hata mimi tangu asubbuhi naona kuwa leo Misri anapgwa

Afu watanzania ndo wataamka, eeh kumbe timu ipo fresh, mechi itakayofuata watapigwa, lakini overall tutapita stage ya kwanza
 
Unachukua Kombe na wachezaji Mandawa,Ulimwengu sijui nani... Hao ni wanyamakazi wanatakiwa kuwa mashambani huko majarubani sio kucheza soka
 
Sijasema tusiwaogope ila wanafungika mkuu.. wengi wao wanacheza vilabu vya kawaida sana.
Brother hauko serious,timu ina wachezaji wa Mancity, Porto, Galatasalay, Fenberce ni vilabu vya kawaida? Stars hata wakifunga goli moja ni mafanikio makubwa
 
Watanzania wenyewe sisi wenye roho za kuombeana mabaya. Sijui
 
Si mtu wa mpira wewe.... Ungejua viumbe waliokuwa nao... Braza.

Aah aaah aab tuombe MUNGU tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…