Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira hautabiriki mkuu!Stars ikipata hata droo nachagua gereza lolote naomba wanifunge miaka 5
Lahaula!
Unachukua Kombe na wachezaji Mandawa,Ulimwengu sijui nani... Hao ni wanyamakazi wanatakiwa kuwa mashambani huko majarubani sio kucheza sokaNaomba msinipige mawe kabla sijaeleza.
1. Nimeangalia timu zote sijaona timu ambayo ina mastars wengi kama miaka ya nyuma au timu ambayo haifungiki. Timu nyingi zina wachezaji toka timu za kawaida sana labda na star mmoja.
Mfano Nigeria ina Iwobi pekee yake ambaye yupo kwenye timu bora. Wengine ni timu ambazo naweza sema za kawaida.
2. Wakibadili mindset na kuona wao wana haki ya kuchukua kombe na wakakomaa inawezekana.. ninapo sema kukomaa yaani ile mkifungwa mnatoa hadi machozi kama brazil ilivyo fungwa na germany . Sasa utakuta timu imefungwa michezaji inacheka au inapongezana .
3. Wakicheza kama timu na kuacha show off .. watapiga senegal na kenya mabao mengi sana. Ila wasipo cheza kama timu taifa star ni mboga ya kila mtu.
4. Wakiacha ushamba na uzembe watafanya vizuri.
5. Waache kulaumiana.
Ni zamu yetu kubeba kombe.
Brother hauko serious,timu ina wachezaji wa Mancity, Porto, Galatasalay, Fenberce ni vilabu vya kawaida? Stars hata wakifunga goli moja ni mafanikio makubwaSijasema tusiwaogope ila wanafungika mkuu.. wengi wao wanacheza vilabu vya kawaida sana.