Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
TBC waonyeshe???? Wamerogwa???TBC wataonyesha?
Una muda gani huendi taifa mkuu?Kuna taarifa za uhakika kuwa Taifa Stars itaonyeshwa duniani kote hapo kesho katika mechi yake dhidi ya Misri.
Kwa walio nje ya Tanzania, Stars wataonyeshwa kupitia channel ya BeIn Sports both Spanish and English services. Check your local cable services.
Kwa wachezaji wetu, tafadhali acheni uchawi na ushamba kwani huu ndiyo muda wenu kujitangaza kimataifa.
Na kwa sie tunaopanga kwenda kuiona Stars hapo kesho, tafadhali tusilete mifuko ya rambo iliyojaa vinyesi ama chupa za maji zenye mikojo.
Ahsanteni!
Muda huo watu watakuwa mashambani wanalima...si unajua watanzania wengi wanakaa vijijini na ni wakulima....hivyo kuonesha mpira live ni kupoteza muda wa wananchi kufanya kazi....TBC wataonyesha?
Bein sport lazima waonyeshe kwa sababu wao wanahaki ya kuonyesha matangazo afrika ya kaskazini kwahiyo Egypt Ndio sababu ya kuonyesha mechi hiyo,
Na mtangazaji atakuwa akiitakia Egypt tu ushindi hutamsikia akisifia Tz
Ubaguzi uko Wapi hapo? Bein sport kwanini haionyeshi mechi za Taifa star ila mpaka icheze na timu za afrika ya kaskazini? Kwa sababu ina mikataba ya kuonyesha timu za mataifa yote ambayo inarusha matangazo yake, na lazima studio yao siku ya mechi atakuwepo mtangazaji kutoka nchi husika, subiri mechi ya Taifa star kesho studio atakuwepo mtangazaji toka Egypt, ungekuwa unasikia lugha wala usingeleta ligi hapaNdugu yangu acha ubaguzi na ndio maana timu yetu haisongi mbele..bein sport kitu kingine na wala haibagui ksma unavyodhani, hayo ni maneno yako tu
Mkuu wewe Mmisri?Egypt sisi tutakuja kupata droo tu ila mkizembewa tunawatumbukizieni... Suala la Mpira ni kuujua na si maneno maneno kisa wewe Mtanzania...
LIVE ni marufuku TBC... ila kama una harusi ni ruksa kuoneshwa live hiyo ni TV ya biashara utawala huu... MAmbo ya Taifa yanaleta hasara tu lipeni kodi allaTBC jamani msituchinjie baharini! naandika kwa uchungu mpaka nataka kulia........
Mkuu wewe Mmisri?
Ubaguzi uko Wapi hapo? Bein sport kwanini haionyeshi mechi za Taifa star ila mpaka icheze na timu za afrika ya kaskazini? Kwa sababu ina mikataba ya kuonyesha timu za mataifa yote ambayo inarusha matangazo yake, na lazima studio yao siku ya mechi atakuwepo mtangazaji kutoka nchi husika, subiri mechi ya Taifa star kesho studio atakuwepo mtangazaji toka Egypt, ungekuwa unasikia lugha wala usingeleta ligi hapa
Ndugu yangu huo ndio ukweli lazima wataipa support Egypt sasa unadhani Tanzania acheze mechi yoyote hapo Bein watakuja? Kwa lipi?. Ni normal mtangazaji kupendelea kwao kama vile mtangazaji wa Tz atapendelea Tz. No wazungu tu peke yao hata kama wanapendelea lakini wana weledi mkubwa hawaoneshi wazi.Ndugu yangu acha ubaguzi na ndio maana timu yetu haisongi mbele..bein sport kitu kingine na wala haibagui ksma unavyodhani, hayo ni maneno yako tu