Taifa Stars kuonywesha duniani kote

Taifa Stars kuonywesha duniani kote

Hii mechi inaoneshwa kupitia bein sports na azam media,hao ndio wamepewa vibali na caf
 
Mechi saa ngapi maana nataka kutazama timu yetu ya mwendo kasi....hivi salah na mohamed wamekuja? Kama wapo lazima tutatafutana leo
 
Ndugu yangu huo ndio ukweli lazima wataipa support Egypt sasa unadhani Tanzania acheze mechi yoyote hapo Bein watakuja? Kwa lipi?. Ni normal mtangazaji kupendelea kwao kama vile mtangazaji wa Tz atapendelea Tz. No wazungu tu peke yao hata kama wanapendelea lakini wana weledi mkubwa hawaoneshi wazi.
Mkuu, hebu muulize yeye kwa nini anaipendelea mno EPL kuliko VPL? Huo si ubaguzi?
 
TBC Wameona Aibu kubwa baada ya ZBC2 zanzibar kuonesha na wao wameindandia hapo hapo... hii nchi yetu ndio hatuwezi kujitegemea hadi Zanzibar wasaidie? kha! am sure wanafanya maudhi maudhi ili watu wapige kelele ibinaifsihwe.. kama walivyofanya kwenye viwanda vyetu vipenzi...

Sasa huo muonekano wa TBC ukitizama kwa dakika kumi kichwa kinakuuma jinsi picha ilivyo mbaya kimuonekano... akiondoka MAGUFULI NADHANI SHIRIKA HILI LINATAKIWA LISAFISHWE na Raisi ajeye baada ya MAGUFULI kwa sasa tuandike Fail... Alamsiki.
 
Mkuu wewe Mmisri?
Hamia timu zenye kuleta Furaha... Achana na Stars utapata magonjwa ya ajabu ajabu yatakuathiri hadi nguvu zako za siri kwa mapenzi mabovu... Tunawanyoa and then tunawaacha mnyong'onyee mkuugua Shauri zenu
 
Timu yetu bado mbovu mno, wachezaji wetu haswa mabeki bado wabovu. Dakika ya 64 sie bado tuko nyuma 0 - 2.
 
Hapo Tukubali watanzania hatuna mpira, tusianze kuleta visababu tena,
 
Bein sport lazima waonyeshe kwa sababu wao wanahaki ya kuonyesha matangazo afrika ya kaskazini kwahiyo Egypt Ndio sababu ya kuonyesha mechi hiyo,
Na mtangazaji atakuwa akiitakia Egypt tu ushindi hutamsikia akisifia Tz


Egypt ndiyo ilishinda na si mtangazaji aliyetaka hivyo....Tanzania mpira wetu bado sana.
 
Hapana mechi itaoneshwa Bein sport chanel 1 tu ambayo ni kiarabu na sio duniani. Lazima ujuwe Egypt ni part ya MENA na beinsport wana customers wengi sana kwa hiyo mechi hasa inalengwa wa Misri waione.


Ni vizuri kuongea kitu unachokijuwa kuliko kuiaminisha akili yako madudu ya kijinga. Hii mechi imeonyeshwa duniani kote. Nilikuwa naangalia hii mechi huku nachat na ndugu yangu aliye Marekani ambaye naye alikuwa anaitizama through BeIN Sports (English service), wewe nani aliyekuambia otherwise? Mijitu mingine bwana, hii bongo fleva inawaharibu sana akili za kupewa.
 
Hakuna anaeleta ligi hapa sote tunaelimishana! Kwaiyo Sasa wewe unataka taifa stars na yenyewe ionyeshwe? Mi naona Bora hata wasiionyeshe mpaka pale kiwango chao kitakapokua juu like Algeria,ivory cost,Tunis nk hapo sawa! Ni hivyo mkuu


Nakuunga mkono.
 
....kwani hii mechi ya leo ilioneshwa huko BeiN sports?, km ilioneshwa imekula kwetu mazima,sidhani kama yupo hata mchezaji mmoja aliyejitutumua leo!, muarabu hovyoo katuzimia nyumbani kimyaa!
 
Back
Top Bottom